Rais wangu JK, tazama ujasiri wa marais wenzako!

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
"Ollanta Humala, Peru's president, reshuffled his cabinet after violent protests over a mining project left five people dead. The new prime minister, Juan Jiménez, is a human-rights lawyer".

Mtukufu raisi wangu lau kama ungekuwa na ujasiri huu ungevikwa taji la raisi mwenye kuitekeleza dhana ya uwajibishanaji.

Mungu bariki!
 
MKuu we unadhani akifanya hivyo Sizi zake atazitunza nani? na yeye ataendelea kutunyonyaje? Lakini ajue Malipo ni hapahapa duniani.
 
Unachekesha, Kikwete afanye hivi? Miaka yake 5 ya awali katika urais waTZ tumeteseka sembuse hii ya lala salama? Hapa hafanyi kazi yeyote kilichobakia ni kutalii kila kukicha na kumuwekea Ridhiwani mazingira mazuri ya biashara.
 
Huyu Rais wa Peru ni design hiyo - hiyo, kwani huyu Kikwete kaishafanya reshuffle ngapi, na zimeleta matunda yapi? ningesikia kama kawawajibisha wangapikutokana na hayo maandamano na mauaji at least ningesema yes, alichofanya huyu raisi ni sawa na Kumtoa Magembe Kilimo kwenda Maji, Mkuchika kutoka TAMISEMI kwenda Utawala bora, etc, mimi naona ni madudu yale yale, labda kama reshuffle inafanyika kupiga mkwara na kuwaonyesha cabinet kwamba rais ndio bosi wao na amiri jeshi au kuwa yupo madarakani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom