Rais wangu JK, full vipaji

millet-president-jakaya-kikwete.jpg


Hapa akionyesha ubunifu wa mavazi
ni aibu sana raisi wa Nchi kupiga picha kama hii, sidhani kama imewahi kutokea kwa kiongozi yeyote au hata mbunge wa hapa Tanzania kapiga picha kama hii
 
ni aibu sana raisi wa Nchi kupiga picha kama hii, sidhani kama imewahi kutokea kwa kiongozi yeyote au hata mbunge wa hapa Tanzania kapiga picha kama hii

Haya ni matokeo ya makosa yanayofanywa na wapigakura. Sina hakika kama wanafamilia wanavumilia upuuzi huu.
 
ni aibu sana raisi wa nchi kupiga picha kama hii, sidhani kama imewahi kutokea kwa kiongozi yeyote au hata mbunge wa hapa tanzania kapiga picha kama hii


we **** nini kwani kuna cha ajabu gani rais kupiga picha ya hivi, mbona mnamsifia jacob zuma anayepiga picha anakula mzigo
 
Sasa kwa nini aumize kichwa wakati nchi iko kwenye 'Autopilot Mode'.
Yeye kazi yake ni kutalii na kufanya sanaa mbalimbali.
 
Mbona Putin anamulti talents na watu hawapigi kelele ....kafanya mkerewe imekuwa big issue!
 
mi nakwambia waliomchagua walichemka, huyu jamaa ni msanii,
mi hata cmlaumu, yupo kwenye fan yake
 
Mbona Putin anamulti talents na watu hawapigi kelele ....kafanya mkerewe imekuwa big issue!
Madame kwa raha gani aliyonayo M.kwere na raia wake? huwezi uka compare Russia na Tanzania
 
Mambo anayoyafanya ni laana na si kawaida kabisa maana badala ya kutumia huo muda kuiongoza Tz anabaki na wehuwehu kama anaoufanya hapo
 
Hahahaha let the guy enjoy bwn, si vibaya kuhave fun, anajitahidi kupunguza stress
 
Hiyo ni digital camera in display screen kubwa kwa nyuma, hakuna haja ya kuchungulia kama camera za kizamani. Hapo alikuwa anaendeleza usanii wake tu.

Mkuu, wala usimuonee kama huijui ni camera model gani. He is doing it correctly.
Hiyo picha nzuri by the way!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom