Rais wangu jaribu kukisoma kila unacholetewa mezani!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Kwa mara nyingine tena Rais amepitisha muswaada kuwa sheria
kandamizi ktk ustawi wa watanzania. Wakati CCM ikiendelea
kuimba wimbo wa kutengeneza ajira kwa vijana kwa kutmia mkono
wa kulia, imetumia mkono wa kushoto kuua juhudi zake yenyewe
za kukuza ajira miongoni mwa vijana na watz wote kwa ujumla.

Hivi ni keli Rais ulisaini mabadiliko haya ya sheria ukiwa na
ufahamu wa jambo hili au hukuwa ukijua ulichokuwa ukisaini? Na kwa
wabunge mliopitisha mabadiliko haya, je sheria hii itawahusu ktk
mafao yenu ya kazi ya ubunge hapo 2015?

Hii nchi mbona ni kama inatawaliwa na mashetani, ni nani aliyewalaani hawa
CCM hadi wamefikia mahali wanatunga sheria za kipumbavu kiasi
hiki na kupata baraka za Ikulu?

Eee Mola waue hawa viongozi wote wa CCM waliopo madarakani maana
kila uchao wanaamka na mbinu za kishenzi zenye nia ya kuangamiza
vizazi vya raia wasio kenye madaraka. Mwenyezi Mungu 2015 ni mbali
sana tuondolee sasa laana hii inayoitwa CCM!
 
Wameshatumia hela zote za mashirika ya Hifadhi za jamii, wakabuni utaratibu wa kuwanyamazisha watu!
Seenzi sana!
 
Liwalo na liwe, bora nchi ianze upya. Mimi nitakufa, wao watapata kitu ya International Criminal Court (ICC).
 
Back
Top Bottom