Rais wa Zanzibar hupeperusha bendera gani?

baina

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
219
59
Hivi rais wa zanzibar anapokuwa tanganyika huwa anapeperusha bendera hipi? Make sijawahi kuona msafara wake.
Nini maana yake?
 
Hana wizara maalum,anaonekana kama ni mbunge tu wa kawaida,na dharau kubwa sana.
 
attachment.php

View attachment 26655

Acheni DHARAU bendera hii hapa!!
 
Hakuna Muungano wa ajabu duniani kama Tanzania na Zanzibar... Jamhuri moja, kila moja ina rais na jeshi???????????+wimbo wa taifa na bendera (ukitaka maajabu ndenda Tanganyika now-days Tanzania utayaona ya kila aina)
 
Back
Top Bottom