Mkandara you have said it all .Take five man .I have been asking myself hapa kwamba akisha mchagua huyu anaweza kusimamia wanayo waamini waislam ? Na je Kwa katiba yetu au hata ya huko Zanzibar wale Minority inakuwaje ? Katiba inawatambuaje hawa wananchi wake ?I am puzzled for sure .
Unahitaji maarifa zaidi kuhusu swala hilo...
Rais akishamchagua haina maana kwamba ana muingilia kwenye kazi zake..kadhi anafanya kazi kwa mujibu wa tafsiri ya Quran..siyo kwa mujibu wa tafsiri ya Rais...
Kwa hiyo Rais yoyete yule anaweza kumchagua..kwa kufanya hivyo anakuwa na mamlaka ya kutoa uamuzi utakaoheshimika na mahakama period
Asipochaguliwa na rais..maamuzi yatahesabika kuwa na maamuzi ya taasisi (NGO)..na si kusudio la mahakama ya Kadhi..kususdio ni kutoa hukumu zitakazoheshimika na mahakama zingine as long muumin ameamua kutumia mahakama ya kadhi
Acha ushabiki na udini jielimishe..ok