Rais wa Zanzibar ana hadhi kubwa kuliko Rais wa Muungano?

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
147
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa mwisho.Akifika Rais wa Zanzibar hupigiwa mizinga na kukagua gwaride

Hii inaonesha kuwa kiitifaki Kwenye sherehe za Mapinduzi Rais wa Zanzibar huwa na hadhi zaidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je hii ni sahihi na ipo wapi kwenye Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa Mwisho.Akifika Rais wa Tanzaibar hupigiwa mizinga na kukagua gwaride

Hii inaonesha kuwa kiitifaki Kwenye sherehe za Mapinduzi Rais wa Zanzibar huwa na Hadhi zaidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je hii ni sahihi na ipo wapi kwenye Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

haya mabo ya itifaki na sherehe sio muhimu ... katiba haina haja ya kuandika udaku.....
 
Naomba mwenye sababu ya msingi Moja tu ANIJUZE . NI KWA NINI TUWE NA SERIKALI MBILI NDANI YA JAMHURI MOJA.
 
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa Mwisho.Akifika Rais wa Zanzibar hupigiwa mizinga na kukagua gwaride

Hii inaonesha kuwa kiitifaki Kwenye sherehe za Mapinduzi Rais wa Zanzibar huwa na Hadhi zaidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je hii ni sahihi na ipo wapi kwenye Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?
Mapinduzi ni ya zenji na wazenji wenyewe, huyu rais wa JMT ni mkaribishwa tu, sasa mgeni kwenye nchi ya watu lazima afuate utaratibu wa wenyeji wake ambao ni huo.
 
Hii imekaa kisherehe zaidi na ukiangalia shehere yenyewe inahusu nini basi Rais wa Zanzibar anatakiwa kupata hadhi hiyo bila shaka. Kwa upande mwingine leo na kesho Serikali ya Zanzibar na Rais wake watakuwa na hadhi kubwa zaidi ya Bara na Rais Kikwete kwani yanayoonekana sasa hivi Bara ni mabaya kupita kiasi hata heshima ya Rais Kikwete imeshuka kwa mambo kama rushwa, mauaji ya hivi karibuni huko Arusha, statement za Rais zisizo na tija, Dowans na mengineyo.
 
Katiba haipo! Ndo maana tunaidai tuiandike upya. Sina wa kumuuliza sasa!
 
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa mwisho.Akifika Rais wa Zanzibar hupigiwa mizinga na kukagua gwaride

Hii inaonesha kuwa kiitifaki Kwenye sherehe za Mapinduzi Rais wa Zanzibar huwa na Hadhi zaidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je hii ni sahihi na ipo wapi kwenye Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Hivi kaka yako anapokuja kukutembelea nyumbani kwako yeye ndio anakuwa baba mwenye nyumba kwakuwa tu ni mkubwa kukupita???
 
Nimejionea katika sherehe zote za Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hutangulia kufika uwanjani na Rais wa Zanzibar huwa wa mwisho.Akifika Rais wa Zanzibar hupigiwa mizinga na kukagua gwaride

Hii inaonesha kuwa kiitifaki Kwenye sherehe za Mapinduzi Rais wa Zanzibar huwa na Hadhi zaidi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Je hii ni sahihi na ipo wapi kwenye Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Aingie mwanzo/aingie mwisho.....apigiwe mizinga/asipigiwe inawasaidia vipi wananchi kuondokana na shida ya maji/umeme/hospitali/ makazi bora n.k?

Mapinduzi ni ya zenji na wazenji wenyewe, huyu rais wa JMT ni mkaribishwa tu, sasa mgeni kwenye nchi ya watu lazima afuate utaratibu wa wenyeji wake ambao ni huo.

Sasa hapa nini maana ya Muungano wakati kuna maraisi wawili ?Zanzibar iko ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Kikwete si wa Tanganyika tuu bali pia ni Rais wa nchi nzima ikiwamo Zanzibar. Huu ni muungano gani huu?? Inabidi tuangalie upya muungano wetu tunataka uweje.
 
Kilichopo si katiba bali ni picha ya katiba. SASA NITAULIZA PICHA?
mkuuu unatukana katiba ya jamhuli ya muungano iliyomuingiza JK madarakani? akaapa kuilinda wewe unaiiita PICHA mkuu matusi hayo bwana.
 
Naomba mwenye sababu ya msingi Moja tu ANIJUZE . NI KWA NINI TUWE NA SERIKALI MBILI NDANI YA JAMHURI MOJA.
MAFISADI WASIIBE CHA WADOGO(VISIWANI) , uuwaji wa maalbino usifanyike visiwani na udebwedo usiweko bara!
 
Sasa hapa nini maana ya Muungano wakati kuna maraisi wawili ?Zanzibar iko ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Kikwete si wa Tanganyika tuu bali pia ni Rais wa nchi nzima ikiwamo Zanzibar. Huu ni muungano gani huu?? Inabidi tuangalie upya muungano wetu tunataka uweje.
Aliyekwambia Kikwete ni Rais wa Zanzibar nani? Kiwete ni Rais wa Tanganyika, jee Tanganyika haiendeshwi na Serikali ya Kikwete na Zanzibar ikiendeshwa na Shein?
Wanaosema hakuna katiba ni sawasawa na kusema kuwa Tanganyika inaitawala Zanzibar, kwani ufahamu wangu nchi kuwa huru huwa inakuwa na Katiba!
 
ujanja mwingi mbele kiza!
 
Back
Top Bottom