Rais wa Zanzibar amwachisha kazi Mh Mansoor Yussuf Himid

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1]
IMG_7424.JPG
[/h] Rais wa zanzibar Dr.Ali Mohammed Shein

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amemwachisha kazi Waziri asiyekuwa na wizara maalum Mansoor Yussuf Himid na kumteua Bi Shawana Buheti Hassan kuchukua wadhifa huo.
Hatua hiyo hata hivyo imekuja wakati ambapo Zanzibar ipo katika harakati za kutaka mabadiliko ya mfumo wa Muungano na Bwana Mansoor amekuwa mstari wa mbele katika mchakato huo wa kutetea mageuzi. Hatua hiyo ya rais imezusha hisia mbali mbali miongoni mwa wananchi wa visiwa hivyo ya Zanzibar. Bruce Amani amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof. Abdul Shariff, na kwanza alimuuliza je hatua hiyo iliyochukuliwa na rais inatoa sura gani.
Mwandishi: Bruce Amani
Mhariri: Saumu Yusuf


[h=4][/h][h=2]Sikiliza mazungumzo kati ya Bruce Amani na Prof. Abdul Shariff
Bonyeza sauti
AUDIO | DW.DE[/h]Chanzo Idhaa ya Ugermani Dw.
 
Back
Top Bottom