Rais wa tz

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Kuna siku rais aliamua kwenda kutembelea hospitali ya vichaa ya mirembe. alipofika wagonjwa wote walimshangilia kwa nguvu kasoro mgonjwa mmoja ambae alikua nyuma kabisa. Basi rais akamfuata na kumuuliza " mbona wewe hunishangilii au hujui kama mimi ni rais wa tanzania?" jamaa akamjibu kwa dharau "karibu sana, hata mimi wakati nafika hapa nilikua nasema hayo hayo kua, "mimi ndio rais wa tanzania"

Hapo rais akaamua kuuliza swali la kupotezea:
Rais: Mgonjwa unajisikiaje hali yako?
Kichaa: Mimi najisikia nafuu sio kama wewe
Rais: Kwanini unasema hivyo:
Kichaa: Wakati mimi naletwa hapa nilisindikizwa na polisi mmjoa tu lakini wewe mwenzangu naona hali ni mbaya sana kwani umesindikizwa na polisi na wanajeshi kibao.....

<br / mkishikwa mi cimo

Similar Discussions

Back
Top Bottom