Rais wa Sudan Kusini Atembelea Israel

vichwa vyenu ni vigumu, mmekalia kuimba mapambio tuu, Mungu angewapa Tanzania yenye mito, mabonde, dhahabu, na sasa mafuta. Wamepewa shamba la kugombea !

Kuna laana zaidi ya kupewa mali usiyoifaidi? Kweli tumepewa kila kitu Tanzania lakini sababu ya laana tuliyonayo tumeuza urithi wetu kwa chakula cha siku moja kama inavyofanya serikali yako ya ccm unayoiunga mkono.
 
Haya mataifa mengine Mungu amemuachia nani ? Una uhakika kuwa Waarabu na Waislaam wameilaani ? Nani mwenye nguvu za kulaani Taifa ? Nani mwenye nguvu za kubariki Taifa ?
'' Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uwezo wa kila kitu'' Quran: Al An'am 17. Haya subirini hizo baraka zao wajomba wa mungu mzipate nyie ! Akili za kuambiwa basi changanya na zako !

Hii quran yako unayoiamini unatakiwa ujue kuna watu hata ukitupa nini hatupendi hata kuiona jinsi ilivyojaa upotoshaji.
 
misaada yote ya kijeshi ilikuwa inatoka Israel na mpaka S Sudan ikakombolewa. Marekani ilikuwa imewasomesha mamilion wa raia wa S sudan kutoka primary mpaka university na mpaka leo inawasomesha vyuoni vikuu bure. Kitendo cha Raisi wa sudan kuitembelea Israel ni cha kiungwana sana na kuheshimu rafiki katika dhiki ndiye rafiki.

Baraka watakayoipata hawa S Sudan itatisha east africa. Usiombe kama muisrael akiamua kukupenda na kukusaidia. Ni mara nne ya marekani katika kujenga taifa masikini. waone kenya walivyo mbali ki uchumi. Najua mataifa ya kiarabau yataona donge na kuchukia sana kwa sababu wao wanadhani kila raisi africa ana tabia kama ya nyerere ya kupakata wapalestina na kuimba nyimbo za matusi kwa waisraeli.

Somali iliwatrain magaidi walioenda kuteka nyara ndege ya ufaransa iliyokuwa na abilia 126 wa kiisrael na kuilazimsha kutua Uganda mwaka 1976. Adhabu yake somalia hakukaliki na wala hakuna serikali. Iddi amin aliwasaidia magaidi hao kupata hifadhi na uwanja wa kuulia waisrael, leo hii kafia ugenini na alitimuliwa madarakani. Urrusi ilishabilkia wapalestina na kuwafunza ugaidi akina mohamed boudia na karlos na ukomusti uliwachukia sana wayahudi, leo hii ukomunisti umetokomea na Urrusi kuanguka kifo cha mende. Hitler alitaka kuwamaliza wayahudi wote kwa kuwachoma katika maoven ya sumu ya carbon Oxide, aliishia kuacha chai mezani na kujipiga risasi kwa hiari yake, ujerumani ikameguka na kutekwa na Urrusi na marekani.

Tanzania ilivunja uhusiano wa kibalozi na israel na kuweka palestina day ili kuwatukana wayahudi kila mwaka , leo hii haiwezi kabisa kujenga uchumi ingawa ina kila dhana kali za kuweka maisha ya raia zake juu kupita kenya. Ona mikataba ya kijinga ya kuchimba madini ambayo Jaji Bomani analia lia kuwa ni wageni tuu wanaofaidika kuliko sisi wenyewe. Je kweli wewe mwenye shamba la nazi unaweza kumuamini mkwezi aangaua nazi atakavyo halafu apeleke sokoni akauze halafu aje kukuambia kapata kiasi gani cha hela ili mugawane? sasa kama selikali inafanya mikataba hiyo, kama sio laana ya kuchukia wayahudi ni nini kingine?

Bila kumpenda myahudi duniani hapa, huwezi kucheza world cup, kujenga timu ya taifa imara , kukuza utalii na shilika lako la ndege kupata safari za kimataifa. Tafadhali tanzania peleka ubalozi Tel Aviv ili laana aliyotuachia nyerere ya kuchukia wayahudi isamehewe au sivyo hata hii uranium atafaidi mchimbaji kuliko mngoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Baraka watakayoipata hawa S Sudan itatisha east africa. Usiombe kama muisrael akiamua kukupenda na kukusaidia.

Nimeiona hii, huenda ikaelezea kwa nini Rais wa S.Sudan anafanya ziara hii

Bofya Israelis can tell the whole story of Sudan's division - they wrote the script and trained the actors
 
Yeyote anaweza kuwa rafiki wa Israel as long as anaweza kuwa kibaraka na rafiki wa mataifa ya ulaya na marekani. Kimsingi waisrael hawawapendi wasudan kusini bali wanawatumiwa kuwakoga maadui zao yaani ndugu zao waarabu wanaowafundisha watu wao kuwa adui wa kwanza ni Israel wakati adui wa kwanza kwa binadamu ni wote yaani waarabu wazungu na waisrael.
 
Tuache ushabiki hawa waizrael tungekuwa na uhusiano nao hadi leo tungekuwa mbali, tulifanya makosa kuwafukuza na ndio maana nchi hii imelaaniwa kuanzia tamaa, ubinafsi wa viongozi ambao umetokana na umasikini wa fikra na mali. Miradi ya waizrael hapa Bongo mnaikumbuka? Kuku wa Moproco,majengo Kilimanjaro,UDSM endeleeni.........
 
misaada yote ya kijeshi ilikuwa inatoka Israel na mpaka S Sudan ikakombolewa. Marekani ilikuwa imewasomesha mamilion wa raia wa S sudan kutoka primary mpaka university na mpaka leo inawasomesha vyuoni vikuu bure. Kitendo cha Raisi wa sudan kuitembelea Israel ni cha kiungwana sana na kuheshimu rafiki katika dhiki ndiye rafiki.

Baraka watakayoipata hawa S Sudan itatisha east africa. Usiombe kama muisrael akiamua kukupenda na kukusaidia. Ni mara nne ya marekani katika kujenga taifa masikini. waone kenya walivyo mbali ki uchumi. Najua mataifa ya kiarabau yataona donge na kuchukia sana kwa sababu wao wanadhani kila raisi africa ana tabia kama ya nyerere ya kupakata wapalestina na kuimba nyimbo za matusi kwa waisraeli.

Somali iliwatrain magaidi walioenda kuteka nyara ndege ya ufaransa iliyokuwa na abilia 126 wa kiisrael na kuilazimsha kutua Uganda mwaka 1976. Adhabu yake somalia hakukaliki na wala hakuna serikali. Iddi amin aliwasaidia magaidi hao kupata hifadhi na uwanja wa kuulia waisrael, leo hii kafia ugenini na alitimuliwa madarakani. Urrusi ilishabilkia wapalestina na kuwafunza ugaidi akina mohamed boudia na karlos na ukomusti uliwachukia sana wayahudi, leo hii ukomunisti umetokomea na Urrusi kuanguka kifo cha mende. Hitler alitaka kuwamaliza wayahudi wote kwa kuwachoma katika maoven ya sumu ya carbon Oxide, aliishia kuacha chai mezani na kujipiga risasi kwa hiari yake, ujerumani ikameguka na kutekwa na Urrusi na marekani.

Tanzania ilivunja uhusiano wa kibalozi na israel na kuweka palestina day ili kuwatukana wayahudi kila mwaka , leo hii haiwezi kabisa kujenga uchumi ingawa ina kila dhana kali za kuweka maisha ya raia zake juu kupita kenya. Ona mikataba ya kijinga ya kuchimba madini ambayo Jaji Bomani analia lia kuwa ni wageni tuu wanaofaidika kuliko sisi wenyewe. Je kweli wewe mwenye shamba la nazi unaweza kumuamini mkwezi aangaua nazi atakavyo halafu apeleke sokoni akauze halafu aje kukuambia kapata kiasi gani cha hela ili mugawane? sasa kama selikali inafanya mikataba hiyo, kama sio laana ya kuchukia wayahudi ni nini kingine?

Bila kumpenda myahudi duniani hapa, huwezi kucheza world cup, kujenga timu ya taifa imara , kukuza utalii na shilika lako la ndege kupata safari za kimataifa. Tafadhali tanzania peleka ubalozi Tel Aviv ili laana aliyotuachia nyerere ya kuchukia wayahudi isamehewe au sivyo hata hii uranium atafaidi mchimbaji kuliko mngoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
.......... Akili ikishakuwa programmed kuamini kuwa "Mungu ni Mtu" ndio madhara yake ! Hivyo unaona binaadamu mwenzio unaweza kukufutia dhambi zako (papa/askofu/mchungaji), anaweza kukuombea ukawa tajiri (manabii TB Joshua, Kakobe, Mwingira) na wengine kukumwagia baraka (kwa kuwakubali Wayahudi) usilale na njaa, na nchi yake watu wakanywa chai na keki
Bila shaka Wachina wanabaraka za Wayahudi (maana wametangazwa rasmi kuwa na watu wa pili kwa uchumi Duniani)
.............ENDELEENI KUABUDU WATU !!
 
Tuache ushabiki hawa waizrael tungekuwa na uhusiano nao hadi leo tungekuwa mbali, tulifanya makosa kuwafukuza na ndio maana nchi hii imelaaniwa kuanzia tamaa, ubinafsi wa viongozi ambao umetokana na umasikini wa fikra na mali. Miradi ya waizrael hapa Bongo mnaikumbuka? Kuku wa Moproco,majengo Kilimanjaro,UDSM endeleeni.........
........Waliondoka na viwanja au Cement !?
........ Yaani Nchi hii pamoja na kuwa na Mitume wengi (Ndege, Kakobe, Mwingira, Rwakatare, JKBR, Ndodi, Mtume wa kike pekee - Flora ) bado ina laana !?
........ Hivi laana anatoa nani na kwa kosa gani !?
 
Hii quran yako unayoiamini unatakiwa ujue kuna watu hata ukitupa nini hatupendi hata kuiona jinsi ilivyojaa upotoshaji.
............... Kupewa baraka na binaadam mwenzio kisa unampenda HILO UNALIONAJE ?
Bin Adam akipata shida na majaribu humuomba Mungu amnusuru na akipata Neema hali kadhalika anapaswa kumshukuru Mungu ! hapa upotoshaji uko wapi ? Vinginevyo kila kitu usifu akili zako ndio zimeweza !
 
Ni ushindi wa diplomasia ya Israel dhidi ya mataifa ya kiarabu.Nchi za kiarabu zina mafuta ambayo waliyatumia kama silaha kubwa kwa nchi zote maskini hasa Afrika zivunje uhusiano wa kibalozi kama sharti muhimu la kuuziwa mafuta watu wanamlaumu Nyerere hawajui alilazimika kuitambua Palestine hili tupate mafuta.

Israel ndiyo mfadhili mkubwa wa South Sudan kama si mkono wa Israel mpaka leo taifa la South Sudan lisingekuwepo.Misaada ya vifaa vya kijeshi na mafunzo ya askari wengi wa South Sudan yaliwezeshwa na Israel kupitia shirika lake la kijasusi MOSAD.Shirika la ujasusi la Israel MOSAD lilifahamu hili Israel ipunguze au iache kununua mafuta ya nchi za kiarabu hakuna njia rahisi zaidi ya kuisaidia South Sudan nchi ya waafrika wengi na wakristo wengi ambayo itikadi na mila zao si tishio kwa usalama wa Israel.Nchi ya Kenya ilitumiwa kusafirisha silaha na sasa itatumiwa kusafirisha mafuta ya South Sudan na pengine hii ni faida ya kuwa na shirika la ujasusi linaloangalia maslahi ya nchi na si maslahi ya vyama vya siasa kama ilivyo Tanzania na TISS yake choka mbaya.

South Sudan ni mwanachama wa EAC wa siku za usoni kupitia ufadhili na mikakati ya Israel litakuwa taifa tishio na lenye nguvu kubwa kiuchumi,kisiasa na kijeshi katika ukanda wote wa EA.
 
Tanzania ya sasa ni nchi yenye msimamo laini na wa kistaarabu, hatuingilii ya Wakongo, Watutsi na Wahutu, Wajaluo na Wakikuyu na vingineo vingi vilivyo karibu, je kwa nini tukaingilie ya Wayahudi na Waarabu? sisi mpaka yeyote atuonee ndio tutaamua tubadilishe msimamo juu yake, kizuri cha ujinga wa nyerere ni kuwa waarabu hao hao aliokuwa amejipendekeza hadi kujipa uadui wa Israel, ndio hao hao waliompa Idd Amin silaha na askari wa kiarabu waishambulie Tanzania hasa Libya na Sudan, hatimae nyerere katoka ikulu kama mbwa aliyechanganyikiwa kwa umaskini wa Taifa, Taifa ambalo kalikuta likitoa misaada Korea na kwengineko.
Hata Uturuki imesaidiwa sana na Israel kufika hapa ilipo, na mpaka mwaka jana uwanja wa mazoezi ya ndege za kivita za Israel ni Anga ya Uturiki.
Tumsubiri Lowassa Kepteni mstaafu huyu kwa kupigiwa debe na ma-Laigwanani jirani zetu ambao ni marafiki wakubwa na wa miaka mingi kama kina Prof. George Saitoti na William Ole Ntimama viongozi hawa wa juu Kenya ndio waliompeleka Odinga hivi karibuni Israel.
 
This is such a most crucial visit, strategically timely and with a looming mother of all answers to the time-grown regional challenges in and around the two nation-states.
 
i think its not a big deal, israel is a big country hata kiuchumi pia ni sisi tu waafrika wenye akili finyu tunaoichukia israel, for everybody information hata nchi za kiisalam at least zenye watu wenye akili timamu wanauhusiano hata wa kibalozi na israel kama turkey na egypt, na pia wanashirikiana kiuchumi na wananunua silaha za israel, saudia, jordan pia wanalitambua taifa la israel ingawa hawana tu ubalozi ktk nchi izo!
 
Kwa taarifa yako, Ehud Barak anasema hatuna maana, na pia hajui kama kuna Tanzani. Sasa sijui utajipendekezaje wewe mwenye akili timamu !
 
Itakuwa na msaada sana kwetu kama tutaliangalia jambo hili kwa macho tofauti na kulijadili kwa fkra huru zisizofungamana na imani yoyote.
Tutakuwa tunajizungushia na kujiwekea mipaka kama tutalijadili hili kwa kuongozwa na mapenzi,chuki au imani za kidini.
Watchout guys, lets be careful with these dancing style of our.
 
atabarikiwa na taifa lake litabarikiwa kwani katembelea nchi ya ahadi ya mungu na taifa teule la mungu,bwana asema. "amebarikiwa aibarikie israel na amelaaniwa ailaanie israel km wafanyavyo waarabu na waislamu"

ndio maana usa and europe in general kwa kuibariki Israel wamebarikiwa kwa kupewa homosexuality,high crime rates,alcoholism and drug related problems pamoja na high rates of rapes to women
 
ndio maana usa and europe in general kwa kuibariki Israel wamebarikiwa kwa kupewa homosexuality,high crime rates,alcoholism and drug related problems pamoja na high rates of rapes to women

Hapo kwenye bold siyo kweli. Nchi za kigaidi hasa Pakistan ndizo zinaongoza kwa ku-rape wanawake wao hadi wana-rape kwa group..au hujawahi sikia hiyo mkuu?
 
Back
Top Bottom