Rais wa Sudan Kusini Atembelea Israel

Discussion in 'International Forum' started by Kinyungu, Dec 21, 2011.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 2,111
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  Baada ya kuanzisha rasmi ofisi za kibalozi hatimaye rais wa Sudan kusin Bw. Salva Kiir amefanya ziara rasmi nchini Israel ambapo amekutana na viongozi wa Israel akiwemo Rais Shimon Perez, Waziri Mkuu Binyamin Netanyahu, Waziri wa Ulinzi Ehud Barak na Waziri wa mambo ya nje Avigdor Lieberman.

  Katika ziara hiyo inayoangaliwa na kufuatiliwa kwa karibu na mataifa ya kiarabu hususan yale ya Sudan na Egypt rais Kiir ameelezwa kufurahishwa kwake kwa kutembelea nchi hiyo ambapo amesema imekuwa furaha kubwa kwake kutembea kwenye nchi hiyo ya ahadi. Katika ziara hiyo rais Kiir alitembelea makumbusho ya mauji ya halaiki ya Yad Vashem akiwa ameambatana na Mbunge wa chama cha Likud Bw. Danny Danon.

  Katika ziara hiyo Waziri Mkuu Netanyahu ametoa ahadi ya kusaidia kuijenga nchi hiyo husani kwa kusaidia kilimo, miundo mbinu na mawasiliano.

  South Sudan president to meet wit... JPost - Diplomacy & Politics
   
 2. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  ndio! Apewe ulinzi na yeye atawapa mafuta ! Bunduki kwa mafuta!
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 2,111
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  South Sudan’s president, Salva Kiir, landed in important in Israel on Monday evening in his first official visit since his country gained independence six months ago.

  Kiir was received by Deputy Foreign Minister Danny Ayalon, who told him that “your choosing Israel as one of the first important]destinations to visit testifies to the deep friendship and the natural partnership between South Sudan and Israel.”

  View attachment 43869


  President Salva Kiir and Israel Prime Minister Binyamin Netanyahu

  allAfrica.com: South Sudan: President Kiir Concludes a Quick Visit to Israel
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaa kimya utasikia Al shabab watakavyojitokeza na kumwaga utumbo humu. Stay tuned
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 48
  Wenye akili wanachukua hatua mapema................hivi sisi ni upupu gania ulitukimbiza kuwa na urafiki na wa Israeli?
   
 6. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  mbona tayari ushaumwaga!
   
 7. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 8,719
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  atabarikiwa na taifa lake litabarikiwa kwani katembelea nchi ya ahadi ya mungu na taifa teule la mungu,bwana asema. "amebarikiwa aibarikie israel na amelaaniwa ailaanie israel km wafanyavyo waarabu na waislamu"
   
 8. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 36
  Mmmmnnnhhh! haya bana
   
 9. HT

  HT JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,906
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamaa amechagua fungu jema, lazima tu ataneemeka. Usijeshangaa jamaa wakituacha tupo hivihivi na Palestina wetu wasio na msaada wowote ktk nchi yetu!
   
 10. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  Haya mataifa mengine Mungu amemuachia nani ? Una uhakika kuwa Waarabu na Waislaam wameilaani ? Nani mwenye nguvu za kulaani Taifa ? Nani mwenye nguvu za kubariki Taifa ?
  '' Na ikiwa Mwenyezi Mungu akikugusisha madhara, basi hapana wa kukuondolea hayo ila Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye uwezo wa kila kitu'' Quran: Al An'am 17. Haya subirini hizo baraka zao wajomba wa mungu mzipate nyie ! Akili za kuambiwa basi changanya na zako !
   
 11. magnificent

  magnificent JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahhhhh, ahhh! unafikiri ni kwanin waarabu wameshindwa kuindoa Israel kwenye Ramani km wanavyoota kila siku? Mungu (Yehovah) yuko pamoja na Israel, ukubali au ukatae huo ndio ukweli. mwenye akili atakubali, mpumbafu atakataa.
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  vichwa vyenu ni vigumu, mmekalia kuimba mapambio tuu, Mungu angewapa Tanzania yenye mito, mabonde, dhahabu, na sasa mafuta. Wamepewa shamba la kugombea !
   
 13. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,749
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Lakini neno la MUNGU litaendelea kusimama milele na milele
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 38
  Iyo ziara italeta marafiki na maadui pia.
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  ............. kuna maswali nimeuliza, kwa kihere here umeyakwepa, hebu jibu haya !
  1. Nani mwenye Mamlaka ya kulaani Taifa ?
  2. Nani mwenye Mamlaka ya kubariki Taifa ?
  3. Ili Taifa lilaaniwe, limekosea nini ?, na ili libarikiwe limepatia nini ?!
  4. Mungu yupi unaemzungumzia hapa, ambaye yeye watu wake ni Waisraeli tu ?!
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,828
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nampa big up Salva Kiir
   
 17. a

  abunura Senior Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamebarikiwa??????? watu walomuua mungu (yesu kristo), au yesu kalaanika kama waislam.
   
 18. a

  abunura Senior Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamebarikiwa?? wanamtukana yesu na mama ake hao watu. na leo yesu ashuke hawatomfuata na watampiga vita.
   
 19. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umekuja ee! Nilijua tu
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe haya mambo huweziyajua Yakheee! Waachie wenyewe waliopata neema ya kujajua wayafaidi.
   
 21. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #21
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna laana zaidi ya kupewa mali usiyoifaidi? Kweli tumepewa kila kitu Tanzania lakini sababu ya laana tuliyonayo tumeuza urithi wetu kwa chakula cha siku moja kama inavyofanya serikali yako ya ccm unayoiunga mkono.
   
 22. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #22
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii quran yako unayoiamini unatakiwa ujue kuna watu hata ukitupa nini hatupendi hata kuiona jinsi ilivyojaa upotoshaji.
   
 23. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #23
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,685
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  misaada yote ya kijeshi ilikuwa inatoka Israel na mpaka S Sudan ikakombolewa. Marekani ilikuwa imewasomesha mamilion wa raia wa S sudan kutoka primary mpaka university na mpaka leo inawasomesha vyuoni vikuu bure. Kitendo cha Raisi wa sudan kuitembelea Israel ni cha kiungwana sana na kuheshimu rafiki katika dhiki ndiye rafiki.

  Baraka watakayoipata hawa S Sudan itatisha east africa. Usiombe kama muisrael akiamua kukupenda na kukusaidia. Ni mara nne ya marekani katika kujenga taifa masikini. waone kenya walivyo mbali ki uchumi. Najua mataifa ya kiarabau yataona donge na kuchukia sana kwa sababu wao wanadhani kila raisi africa ana tabia kama ya nyerere ya kupakata wapalestina na kuimba nyimbo za matusi kwa waisraeli.

  Somali iliwatrain magaidi walioenda kuteka nyara ndege ya ufaransa iliyokuwa na abilia 126 wa kiisrael na kuilazimsha kutua Uganda mwaka 1976. Adhabu yake somalia hakukaliki na wala hakuna serikali. Iddi amin aliwasaidia magaidi hao kupata hifadhi na uwanja wa kuulia waisrael, leo hii kafia ugenini na alitimuliwa madarakani. Urrusi ilishabilkia wapalestina na kuwafunza ugaidi akina mohamed boudia na karlos na ukomusti uliwachukia sana wayahudi, leo hii ukomunisti umetokomea na Urrusi kuanguka kifo cha mende. Hitler alitaka kuwamaliza wayahudi wote kwa kuwachoma katika maoven ya sumu ya carbon Oxide, aliishia kuacha chai mezani na kujipiga risasi kwa hiari yake, ujerumani ikameguka na kutekwa na Urrusi na marekani.

  Tanzania ilivunja uhusiano wa kibalozi na israel na kuweka palestina day ili kuwatukana wayahudi kila mwaka , leo hii haiwezi kabisa kujenga uchumi ingawa ina kila dhana kali za kuweka maisha ya raia zake juu kupita kenya. Ona mikataba ya kijinga ya kuchimba madini ambayo Jaji Bomani analia lia kuwa ni wageni tuu wanaofaidika kuliko sisi wenyewe. Je kweli wewe mwenye shamba la nazi unaweza kumuamini mkwezi aangaua nazi atakavyo halafu apeleke sokoni akauze halafu aje kukuambia kapata kiasi gani cha hela ili mugawane? sasa kama selikali inafanya mikataba hiyo, kama sio laana ya kuchukia wayahudi ni nini kingine?

  Bila kumpenda myahudi duniani hapa, huwezi kucheza world cup, kujenga timu ya taifa imara , kukuza utalii na shilika lako la ndege kupata safari za kimataifa. Tafadhali tanzania peleka ubalozi Tel Aviv ili laana aliyotuachia nyerere ya kuchukia wayahudi isamehewe au sivyo hata hii uranium atafaidi mchimbaji kuliko mngoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
   
 24. N

  Nonda JF-Expert Member

  #24
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 10,211
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 63
  Nimeiona hii, huenda ikaelezea kwa nini Rais wa S.Sudan anafanya ziara hii

  Bofya Israelis can tell the whole story of Sudan's division - they wrote the script and trained the actors
   
 25. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #25
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 950
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yeyote anaweza kuwa rafiki wa Israel as long as anaweza kuwa kibaraka na rafiki wa mataifa ya ulaya na marekani. Kimsingi waisrael hawawapendi wasudan kusini bali wanawatumiwa kuwakoga maadui zao yaani ndugu zao waarabu wanaowafundisha watu wao kuwa adui wa kwanza ni Israel wakati adui wa kwanza kwa binadamu ni wote yaani waarabu wazungu na waisrael.
   
 26. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #26
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,003
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Tuache ushabiki hawa waizrael tungekuwa na uhusiano nao hadi leo tungekuwa mbali, tulifanya makosa kuwafukuza na ndio maana nchi hii imelaaniwa kuanzia tamaa, ubinafsi wa viongozi ambao umetokana na umasikini wa fikra na mali. Miradi ya waizrael hapa Bongo mnaikumbuka? Kuku wa Moproco,majengo Kilimanjaro,UDSM endeleeni.........
   
 27. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #27
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  .......... Akili ikishakuwa programmed kuamini kuwa "Mungu ni Mtu" ndio madhara yake ! Hivyo unaona binaadamu mwenzio unaweza kukufutia dhambi zako (papa/askofu/mchungaji), anaweza kukuombea ukawa tajiri (manabii TB Joshua, Kakobe, Mwingira) na wengine kukumwagia baraka (kwa kuwakubali Wayahudi) usilale na njaa, na nchi yake watu wakanywa chai na keki
  Bila shaka Wachina wanabaraka za Wayahudi (maana wametangazwa rasmi kuwa na watu wa pili kwa uchumi Duniani)
  .............ENDELEENI KUABUDU WATU !!
   
 28. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #28
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  ........Waliondoka na viwanja au Cement !?
  ........ Yaani Nchi hii pamoja na kuwa na Mitume wengi (Ndege, Kakobe, Mwingira, Rwakatare, JKBR, Ndodi, Mtume wa kike pekee - Flora ) bado ina laana !?
  ........ Hivi laana anatoa nani na kwa kosa gani !?
   
 29. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #29
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 38
  ............... Kupewa baraka na binaadam mwenzio kisa unampenda HILO UNALIONAJE ?
  Bin Adam akipata shida na majaribu humuomba Mungu amnusuru na akipata Neema hali kadhalika anapaswa kumshukuru Mungu ! hapa upotoshaji uko wapi ? Vinginevyo kila kitu usifu akili zako ndio zimeweza !
   
 30. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #30
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 10,043
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 63
  Ni ushindi wa diplomasia ya Israel dhidi ya mataifa ya kiarabu.Nchi za kiarabu zina mafuta ambayo waliyatumia kama silaha kubwa kwa nchi zote maskini hasa Afrika zivunje uhusiano wa kibalozi kama sharti muhimu la kuuziwa mafuta watu wanamlaumu Nyerere hawajui alilazimika kuitambua Palestine hili tupate mafuta.

  Israel ndiyo mfadhili mkubwa wa South Sudan kama si mkono wa Israel mpaka leo taifa la South Sudan lisingekuwepo.Misaada ya vifaa vya kijeshi na mafunzo ya askari wengi wa South Sudan yaliwezeshwa na Israel kupitia shirika lake la kijasusi MOSAD.Shirika la ujasusi la Israel MOSAD lilifahamu hili Israel ipunguze au iache kununua mafuta ya nchi za kiarabu hakuna njia rahisi zaidi ya kuisaidia South Sudan nchi ya waafrika wengi na wakristo wengi ambayo itikadi na mila zao si tishio kwa usalama wa Israel.Nchi ya Kenya ilitumiwa kusafirisha silaha na sasa itatumiwa kusafirisha mafuta ya South Sudan na pengine hii ni faida ya kuwa na shirika la ujasusi linaloangalia maslahi ya nchi na si maslahi ya vyama vya siasa kama ilivyo Tanzania na TISS yake choka mbaya.

  South Sudan ni mwanachama wa EAC wa siku za usoni kupitia ufadhili na mikakati ya Israel litakuwa taifa tishio na lenye nguvu kubwa kiuchumi,kisiasa na kijeshi katika ukanda wote wa EA.
   

Share This Page