Rais wa Niger na Wabunge washikiliwa na Jeshi

BBC UPDATE:

AU chief Jean Ping said he was watching developments "with concern" after a day of gun battles culminated in a takeover led by Colonel Salou Djibo.
West African bloc Ecowas "roundly condemned" the coup and dispatched a mission to talk to the plotters.
But one opposition activist told the BBC the soldiers were "honest patriots" who were fighting tyranny.
Heavy artillery
Mr Tandja provoked a political crisis last August when he changed the constitution of the uranium-rich country to allow him to remain in power indefinitely.

The Economic Community Of West African States (Ecowas), which suspended Niger after Mr Tandja's actions, said it had "zero tolerance" for any unconstitutional changes of government.
"We condemn the coup d'etat just as we condemn the constitutional coup d'etat by Tandja," Ecowas official Abdel Fatau Musa told the BBC
 
Wasimuache bila kumcharaza viboko kidogo ili ajue ubaya wa kujigeuza mungu mtu na kufikiri watu wote wa Niger hawana akili nyingi kama za kwake.
 
........"We condemn the coup d'etat just as we condemn the constitutional coup d'etat by Tandja," Ecowas official Abdel Fatau Musa told the BBC
sasa jamaa sijui wanataka nn? hii style ya ku condemn without any action sioni faida yake!!
 
Mwe !!! Mfano wa kuigwa na nani ??? Hivi wewe unaujua mtutu wa bunduki au unausikia tu ??? Usifanye mchezo na mapinduzi ya kijeshi. Kama umechoka amani basi hamia huko huko Niger au uende hapa jirani tu na kwetu uone madhara ya umwagaji damu. Nadhani wewe siyo m-TZ, labda unatokea huko huko wanakomwaga damu. Usituletee huo muflisi wako wa amani na siasa. KWENDA ZAKO HUKO.

Mnajidanganya eti bongo kuna amani! Wateule wachache wanatafuna rasilimali za nchi huku walio wengi wanakufa kwa kukosa dawa, maji safi, lishe bora- huku mkipewa kofia, khanga na t-shirt na mkidanganywa kuwa ni "kisiwa cha amani na utulivu". Kwa mawazo ya watu kama wewe hawa watawala wa bongo wataendelea kutukanyaga kama mazulia. Wakati mwingine ni bora taifa lipite katika tanuru la umwagaji damu ndo mambo yakae sawa hasa kwa viongozi wa kiafrika wenye vichwa ngumu! Kama uchaguzi utaendelea kusiginwa na wezi, mafisadi kuendelewa kukumbatiwa basi hakuna shaka siku moja yatatokea yaliyotokea Niger.
 
Niger's capital calm one day after coup

LON100_NIGER-_0219_11.jpg

Colonel Goukoye Abdul Karimou reads a statement signed by Colonel Salou Djibo in Niamey in this videograb dated February 18, 2010 after President Mamadou Tandja was ousted in a military coup.


By JEAN-MATTHEW III and REUTERS
Posted Friday, February 19 2010 at 18:48

Markets, banks and schools in Niger's capital opened as usual on Friday, a day after troops ousted President Mamadou Tandja in a military coup, and the only soldiers on the streets were few and lightly armed.

The international community unilaterally condemned the overthrow, but diplomats and analysts said it could create an opportunity to hold elections that were postponed by Tandja's unpopular constitutional reform in 2009. "It is likely the new military government will be under pressure from the international community to restore the rule of law and hold elections in the medium term," said Samir Gado, Vice-President of Rencap Securities.

The head of the military junta that seized Tandja during Thursday's gun battle called for calm and said the work of government ministers and regional governors ousted in the coup was being done by their secretary generals. After months of political wrangling over Tandja's amendment of the constitution, which provoked international sanctions and demonstrations, there was a sense of relief and hope for change in the uranium-producing west African desert nation.

"I hope the soldiers restore some order ... clean up the political environment," said taxi driver Moussa Issa. "We need to start from scratch, without being compromised by the current political class which has been discredited over the last 20 years," he added.

The junta, calling itself the Supreme Council for the Restoration of Democracy, gave no indication of how long it intended to hold power but called on Niger's people and other countries to support its actions. Its fighters on Thursday captured Tandja and his ministers in a gun battle, before it suspended the constitution and dissolved all state bodies. At least three people were killed.

http://www.nation.co.ke/News/africa/-/1066/865266/-/1235ferz/-/index.html
 
Hawa wametumwa tu,huyu jamaa anawauzia uranium Iran...Kwa hio ni muhimu kustop source ya nuclear ya Iran.
Nadhani china ndo kikwazo kwa mujibu wa wanafunzi wa Niger.Tunawanafunzi wa niger hapa.Sababu mojawapo ya huyu bwana kubadili katiba ni kwamba wachina wanaofia opposition ambao wanadhani wameegemea sana europe. walichofanya ni kumpa huyu rais asilimia kwenye migodi yao ya uranium na gesi ili aendelee kuwalinda. News za huko Niger china wanacover kwenye TV yao kweli kweli.
 
Wakati mwingine utaifa hunisukuma kutamani mambo haya. Kungekuwa na uwezekano wa kutokea hili nchini kwetu hii michezo ya kuigiza bungeni na mahakamani pengine ingepungua!! Nchi imekuwa typically jukwaa la wasanii, kwa kweli inatia kinyaa. Tunageuzwa geuzwa kama vile nchi haina wazawa wa kuionea uchungu. Na wanafanya wapendavyo kwa kujua walichowanywesha wanajeshi wetu wanajua hawawezi kutapika leo wala kesho ndio maana wanafanya watakavyo.

Nafikiria ile style ya Mkapa ya kusema kwamba watanzania hawana uwezo wa kuendesha mashirika ya umma ingefanyika Ikulu na Jeshini pengine mambo yangekuwa mazuri kwa kuwa kazi ingekuwa ya mkataba. Baada ya miaka miwili au mitatu hivi wanajeshi hawajapindua nchi tunawarudisha kwao, wameshindwa kazi!!
 
Back
Top Bottom