Rais wa nchi anapojawa na tabasamu la bashasha katikati ya msiba mkubwa wa jamii nzima!!!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Nchi hii sijui kama itakuja ipate kiongozi mwingine wa ajabu kama tuliye nae sasa.

Hebu fikiria, katikati ya tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ambalo kila mtu anashauri tuite janga la kitaifa, yeye yupo ziarani akiwabembeleza wawekezaji waje nchini!!!! Sijui hao wawekezaji watatumia nishati gani katika shughuli zao.

Kinachoniudhi na kunisikitisha sana ni kitendo cha rais kuongea na waandishi wa habari akiwa na uso wenye furaha na tabasamu lisilo na mashaka kwamba hajali kinachoendelea hapa nchini.

Kila siku ninaposali wakati wa kwenda kulala huwa namwomba Mungu atuepushe watanzania kupata rais wa aina hii.
 
JK ni janga wengi tumeongea. Lakini pia, napatwa na mashaka, inawezekana pia uwezo wake wa kuona mambo in broader perspective ndo huo!!

Yeye anategemea MW 310 walizogenerate zitawatosha wawekezaji hao wapya anaofanya nao mazungumzo waje!!

Nashauri tumuombee JK, his problem is a collosal to the country!!
 
Kinachoniudhi na kunisikitisha sana ni kitendo cha rais kuongea na waandishi wa habari akiwa na uso wenye furaha na tabasamu lisilo na mashaka kwamba hajali kinachoendelea hapa nchini.
Si mlichagua kutokana na tabasamu hilihili?Mara hii tabasamu lishaanza kuwakera?Halafu siamini kama kweli huko nje anaenda kuita wawekezaji!Wawekezaji waje kuwekeza gizani?Huyu atakua anakimbia vimeo tu!!
 
Anakwenda kupumzisha nafsi yake manake kila alie mchagua na kumpa wadhifa kawafisadi kupitiliza,sasa pakuweka sura hana ndio anaona bora akajizimue,sababu hajui amshike nani kawapa watu nafasi kwa kujuana huyu nilisomanae,yule tuliwahi kufanya kazi office moja ilimradi shaghala baghala,sasa leo wamegeuka samaki walana wao kwa wao.
 
Nchi hii sijui kama itakuja ipate kiongozi mwingine wa ajabu kama tuliye nae sasa. Hebu fikiria, katikati ya tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ambalo kila mtu anashauri tuite janga la kitaifa, yeye yupo ziarani akiwabembeleza wawekezaji waje nchini!!!! Sijui hao wawekezaji watatumia nishati gani katika shughuli zao. Kinachoniudhi na kunisikitisha sana ni kitendo cha rais kuongea na waandishi wa habari akiwa na uso wenye furaha na tabasamu lisilo na mashaka kwamba hajali kinachoendelea hapa nchini. Kila siku ninaposali wakati wa kwenda kulala huwa namwomba Mungu atuepushe watanzania kupata rais wa aina hii.
Jamani mbona alishatoa "solution" ya tatizo la mgao wa umeme: Yeye hawezi kujigeuza kuwa wingu la mvua!
 
mimi nilisikitika sana walipomuonyesha kwenye tv rais wetu kaenda kutembelea wahanga wa mabomu ya gongo la mboto kavaa suti yupo na Davis Mwamunyange anacheka sana! I was shocked! Nilitegemea aende akiwa nalia lakini si Kikwete, bwana!Kwanza alitakiwa amwadhibu Mwamunyange lakini yeye anacheka na kutabasamu muda wote! Napia ukimwangalia vizuri anatabasamu kwenye misiba yote anyohudhuri! Ni janga kubwa and we are in deep shit! QUOTE=Dumelambegu;227036chi hii sijui kama itakuja ipate kiongozi mwingine wa ajabu kama tuliye nae sasa. Hebu fikiria, katikati ya tatizo kubwa la ukosefu wa umeme ambalo kila mtu anashauri tuite janga la kitaifa, yeye yupo ziarani akiwabembeleza wawekezaji waje nchini!!!! Sijui hao wawekezaji watatumia nishati gani katika shughuli zao. Kinachoniudhi na kunisikitisha sana ni kitendo cha rais kuongea na waandishi wa habari akiwa na uso wenye furaha na tabasamu lisilo na mashaka kwamba hajali kinachoendelea hapa nchini. Kila siku ninaposali wakati wa kwenda kulala huwa namwomba Mungu atuepushe watanzania kupata rais wa aina hii.[/QUOTE]
 
Unajua tabasamu la muda wote ni dalili ya matatizo ya akili? Sayansi imethibitisha. Binadamu hawezi kucheka muda wote labda uwe taahira.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom