Rais wa Mbeya MR SUGU..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,969
1,393
Taarifa: Mbeya hali ni shwari wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida...na wananchi wote 386 waliokuwa wanashikiliwa na jeshi la polisi sasa wako huru,ambapo kati yao 34 wameachiwa kwa dhamana na wengine wote wameachiwa bila dhamana...naangalia utaratibu wa kuwawekea wakili wananchi hawa 34 kwani naamini wote ni innocent citizens...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom