Rais wa Malawi Awananga Waandishi wa Habari wa Tanzania

Alitaka waandishi wa habari wa Tanzania waandike kuwa yeye ni dada yao hivyo wataelewana naye tu na hawatakuwa tayari kupigana vita na dada yao!!?
 
Niliishaandika kuwa waandishi wa habari tz si wazalendo na wanalipuka wanapoandika articles zao.wao wanajiona kana kwamba wanajua kuliko wengine.wanapenda kutumia taarifa za mitandao bila hata ya wao kufanya tafiti ya kipi ni cha ukweli.mimi nilikuwa nafuatilia sana michango yao kwenye huu mtandao lakini nikaona kuna upotoshaji mkubwa kuhusu ziwa nyasa.wengine walipotoshwa hata maana ya ziwa hilo kuitwa nyasa,malawi badala ya chimbuko lake la awali yaani malavi.nitakaona jinsi gani waandishi hao wasivyo wazalendo kwa kupotosha umma na kuwasadikisha wanayoamini wao
 
wandishi wa bongo wengi wao wanajua kuandika habari za cdm tu,wakati kuna kanseli zaidi ya 335 TZ,CDM ukiwapa za Arusha na Mwanza bado hata 10 hazifiki,lkn kwasababu CDM wameshika media wanawaaminisha wabongo CDM wao wanapendwa sana.mahakamani wakishindwa ,Ikulu imetia mkono,wakishinda,mahakama wanaisifia sana, na wandishi wanaipamba sana hiyo habari.wakati wa uchaguzi CDM walipata sapoti kubwa kutoka media za bongo,SLAA alisema eti kashinda na makanjanja wakataka kuwaaminisha watu waamini,na kuna wajinga wanaamini hivyo mpaka leo,ukweli ni kwamba Slaa kwa mfano kusini hakufika namaana hajazunguka wilayani pia na sehemu nyingi za nchini,pia waliowasimamisha kugombea ubunge kwa tiketi CDM hawawafikii wa CCM kwa nusu nchi mzima,pia kwa tiketi ya udiwani haifiki hata robo ya waliowasimamisha CCM,so hata swala la MALAWI silielewiewi nafwatilia kupitia vyombo vya nnje,hata wanamichezo wetu wanaharibiwa na makanjanja wetu,wakiweza kidogo tu wanawajaza sifa wasizo stahili,mwisho ni utovu wa nidhamu,ulevi,umalaya,uvivu kisha majungu na nchi kuilostisha.nchi ina miaka 50 hamna hata ambae wanacheza ligi za Ulaya zinazojulikana.Na mpira unasimamiwa na chombo huru.aliyozungumza Rais wa Malawi siyabezi nayafanyia kazi.
 
kiboko yake ni Professa Peter Mutharika tu.huyu mama ni lazima aanguke vibaya uchaguzi ujao.Asitafute umaarufu wa kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom