Rais wa kuchekacheka na waziri mkuu wa kulialia.

makamu wa rais je?

Akija mgeni, akawaona viongozi wetu ni aibu tupu. Lazima atajiuliza, 'hivi katika kundi kubwa la watu wanaokaribia 40 milioni, hawakuona na hawakuwapata wengine wowote zaidi ya hawa? Huyo makamu, hata sijui tumzungumzieje, maana akianza kuongea ----- ngonjera siyo ngonjera, mashairi siyo mashairi, nyimbo siyo nyimbo, lakini huwa anakuwa kama anaimba wimbo aliokaririshwa. Ukisikia tena kuwa ni Dr, hapo ndiyo unazidi kushangaa. Na uDr kama ndiyo ni kuwa hivyo, basi aheri kuwa mhunzi.
 
Ama kweli Tanzania ya leo tunao mchanganyiko wa kiaina katika uongozi wa juu:Rais anayechekacheka hata pale anapotakiwa kuwa serious na waziri wake mkuu anayelialia na kulalamika badala ya kuchukua maamuzi. Wana JF tutafika kwenye nchi ya maisha bora tuliyoahidiwa?
nahisi raisi anaicheka sura iliyopinda
 
Akija mgeni, akawaona viongozi wetu ni aibu tupu. Lazima atajiuliza, 'hivi katika kundi kubwa la watu wanaokaribia 40 milioni, hawakuona na hawakuwapata wengine wowote zaidi ya hawa? Huyo makamu, hata sijui tumzungumzieje, maana akianza kuongea ----- ngonjera siyo ngonjera, mashairi siyo mashairi, nyimbo siyo nyimbo, lakini huwa anakuwa kama anaimba wimbo aliokaririshwa. Ukisikia tena kuwa ni Dr, hapo ndiyo unazidi kushangaa. Na uDr kama ndiyo ni kuwa hivyo, basi aheri kuwa mhunzi.
Nasubiri kumwona Dr. Slaa akikaa pembeni ya Obama ataongea nini,, jamaa anaweza kumshawishi Obama waanze maandamano fasta!!!
 
Back
Top Bottom