Rais wa Jamhuri na Zanzibar...

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196
Wakuu leo imetokea tu nikawa najiuliza hovi Rais wa Zanzibar huwa anashiriki katika shuguli za kimaendeleo ktk Tanganyika? Yaani kama kuzindua miradi, kulutana na wananchi na kutembelea wahanga wa natural disasters kama wale wa Kilosa? Sijawahi kusikia basi na ipo basi ni mara moja napo wanaishia Dar.

Vivyo hivyo kwa Rais wa Jamhuri, nilitegemea kuwa yeye kwa kuwa ni mkuu wa nchi nzima basi kule visiwani angekuwa anatembelea mara kwa mara hadi vijijini huko Pemba sio kuhudhuria tu sherehe ya Mapinduzi. Hii ingesaidia kuonyesha extension ya power lakini siioni hii au ni mimi tu?:confused:
 
Wazo zuri kuwazua mkuu.
Lakini kumbuka zenji is too small. Ni sawa na kamkoa kadogo sana kama dar hivi. Sasa mtanganyika wote huu hajaweza kuutembelea kwa nn aende zenji.

Isitoshe zenji wana presidaa wao.
 
Halafu mkuu mawazo yako yapo ki-uhanaarakati zaidi....dadavua....nitarudi.
 
Wazo zuri kuwazua mkuu.
Lakini kumbuka zenji is too small. Ni sawa na kamkoa kadogo sana kama dar hivi. Sasa mtanganyika wote huu hajaweza kuutembelea kwa nn aende zenji.

Isitoshe zenji wana presidaa wao.

Sawa kaka we ushwahi kusikia Krume yuko Mbeya? Labda huyo wa Zanzibar sasa huyu wa Jamhuri yeye huwa anaenda kwenye sherehe za Mapinduzi tu kuna mipaka gani kati ya watu hawa wawili?
 
Back
Top Bottom