Rais wa 2015, Maghembe anafaa

kibiloto

Senior Member
Aug 18, 2011
141
29
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup
 
Mkuu Kibiloto, tukimkosa EL au Membe, then huyu atatufaa sana maana kwa uhakika tutapata ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania!.
 
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup

Ha ha ha ha ha haha ha....Mkuu usinivunje mbavu plz, yule jamaa ata kuongea ni mvivu, na ndio maana ni mzembe sana kwenye utendaji. Nahisi ni baba yako ndio maana umeleta hii hoja.
 
Naomba tumuombe agombee ni chaguo la JK kwa sasa nami naunga mkono na mguu Naomba kwa kweli mnia ambie nani zaidi yake miaka mitatu wizara tano si ANA uzoefu
 
Katika miaka sita ya JK, amepitia wizara tano. average ya wizara moja kila mwaka. Sijui amaeacha legacy gani katika wizara hizo? Labda poor performance.
 
Miaka mitatu wizara tano na bado analalamikiwa kwa utenmdaji mbovu bado awe rais duh kweli umeota ndoto njema sana
 
Umenifurahisha, tatizo ni mlevi wa Jack Daniels, nina wasiwasi anaweza kupatwa na ugonjwa wa kusahau....akajikuta anasahau kama yeye ni Rais.
 
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila mara nyingine bigup

kejeli hiyo
 
Duuh, are you serious? Kwasababu ya kuufungua ule mradi wa maji mbeya?
 
Mpigie katika namba hii +255 75 399 9944 au +255 78 603 4888, msingi wa kutoa namba zake:

Yeye ni Waziri wa wananchi na tukimuhitaji lazima apatikane, tukimuuliza atujibu, kama hataki pia poa tu. Halafu nikimpigia simu huwa hapokei.
 
Alama tatu za nyakati:

1. Umepimwa na kuonekana umepungua (hivyo hufai)
2. Ufalme wako umegawanywa na kupewa upinzani (kwani wao ndio wenye uwezo wa kuongoza kwa sasa)
3. Siku zako zinahesabika (kama siku 1185 hivi) ndio zimebaki ukihesabu kuanzia leo.

Hivi Maghembe anazijua hizi?

Ok awe anazifahamu, ana ubavu wa kuipenya (NEC) ngome ya mafisadi wenzake ambao walishatamka kuwa rais ajaye hawezi toka kaskazini?

Mnataka afe kabla ya wakati wake?...kuhama wizara moja hadi nyingine si uzoefu, bali ni poor perfomance, sasa kwa kuwa "analindwa" ndio maana inaonekana anachapa kazi.......sishabikii siasa ila nina mtazamo tofauti kuhusu baadhi ya viongozi wetu.

Anyway Musharaf alisema mimi ni kilaza na mpuuzi, ati kwa kuwa nilisema hata brother Ben Membe haiwezi hii nchi.haya mkosoe na huyu mdau mwingine....NI MTAZAMO TU.
 
KIBILOTO, umenifanya nicheke hadi mbavu zinauma..unajua one of my staff ameshindwa kuelewa kwa nini ninacheka, nikajikuta namwambia hii yote ni kwa ajili ya kibiloto....amebaki anauliza wenzake "who or what is kibilito? nikamwambia not kibilito...but KIBILOTO"
 
Back
Top Bottom