Rais umenisononesha kwenye BBC News

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Rais umenisononesha kwenye BBC

Ama kweli kabla hujafa hujaumbika, rais wetu nilimsikia akijibu swali la mtangazaji BBC kuwa yeye hana uwezo wa kumwambia mungu anyeshe mvua ili tupate umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwani Uganda, Kenya Rwanda, Burundi na nchi tunazopakana wao wana uwezo wa kumwambia Mungu?

Hivi nchi za Uarabuni ambako hawana hata mito napengine mvua kutonyesha mbona wana umeme wa uhakika?

Ati wanao ona kuna haja ya kuamua vinginevyo waje na ushauri nao wataufuata! kama wafanyakazi wanakula mshahara kutokana na kazi hiyo iweje watu wa nje ya wizara kuja kushauri ama TANESCO na serikali wote wana mapungufu ya kufikiri?

Pengine nimeona amejidhihirisha ulimwenguni kuwa viongozi TZ wana uwezo mdogo wa kuamua mambo ya nchi yao.

CHADEMA hii nchi jamaa imesha washinda, msitegemee irudi ktk hali ya kawaida. Si mnaona JK amemfanyaje katibu wa aizara ya nishati na madini aliyesababisha bajeti kuahirishwa??. San asana kwa mahojiano ya jana alikuwa akimtetea. Mpaka sasa ninavyo andika hapa tunatumia jenerator na umeme hakuna.
WATANZANIA TUMEPIGIKA SANA!

 
Beaking News ITV na Radio One leo mchana, Jairo amesimamishwa kazi, CAG atafanya uchunguzi wa kifedha Wizarani hapo kuthibitisha kama mashtaka dhidi ya Jairo apelekwe kwa pirato.
 
Beaking News ITV na Radio One leo mchana, Jairo amesimamishwa kazi, CAG atafanya uchunguzi wa kifedha Wizarani hapo kuthibitisha kama mashtaka dhidi ya Jairo apelekwe kwa pirato.

Yatakuwa kama ya kashfa ya Rada, serikali ikisema mwenye ushahidi awapelekee? walio ajiliwa kwa shughuli za ushahidi + Prosecutors wao wanapokea mishahara ya nini?
 
Tumewazoea, kutufanya kama watoto wasioelewa na kamati iliyoundwa wanagawana shilingi ngapi mpaka ushahidi ukamilike?siasa za zetu zinakera zinaweza kukufanya uwe na hasira wakati wote.

Beaking News ITV na Radio One leo mchana, Jairo amesimamishwa kazi, CAG atafanya uchunguzi wa kifedha Wizarani hapo kuthibitisha kama mashtaka dhidi ya Jairo apelekwe kwa pirato.
 
rais umenisononesha kwenye bbc

ama kweli kabla hujafa hujaumbika, rais wetu nilimsikia akijibu swali la mtangazaji bbc kuwa yeye hana uwezo wa kumwambia mungu anyeshe mvua ili tupate umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
kwani uganda, kenya rwanda, burundi na nchi tunazopakana wao wana uwezo wa kumwambia mungu?

hivi nchi za uarabuni ambako hawana hata mito napengine mvua kutonyesha mbona wana umeme wa uhakika?

ati wanao ona kuna haja ya kuamua vinginevyo waje na ushauri nao wataufuata! Kama wafanyakazi wanakula mshahara kutokana na kazi hiyo iweje watu wa nje ya wizara kuja kushauri ama tanesco na serikali wote wana mapungufu ya kufikiri?

pengine nimeona amejidhihirisha ulimwenguni kuwa viongozi tz wana uwezo mdogo wa kuamua mambo ya nchi yao.

chadema hii nchi jamaa imesha washinda, msitegemee irudi ktk hali ya kawaida. Si mnaona jk amemfanyaje katibu wa aizara ya nishati na madini aliyesababisha bajeti kuahirishwa??. San asana kwa mahojiano ya jana alikuwa akimtetea. Mpaka sasa ninavyo andika hapa tunatumia jenerator na umeme hakuna.
watanzania tumepigika sana!

mpaka ashuke malaika atwambie chukueni hatua vinginevyo sisi ni wadanganyika..yaaan kama la umeme litapita wallah nitaamini kwamba tumelogwa na kikombe cha babu kinahitajika kitaifa..
 
Yatakuwa kama ya kashfa ya Rada, serikali ikisema mwenye ushahidi awapelekee? walio ajiliwa kwa shughuli za ushahidi + Prosecutors wao wanapokea mishahara ya nini?
Govt ya bongo lala, sasa hiyo mikwala mbuzi ya mara hoo makaa ya mawe mchuchuma, mara hoo Kiwira, mara hoo umeme wa upepo hoo wa jua, kumbe hakuna kitu!!!!!!!!!!!! Hawa wamechoka hata akili hazifikiri tena, ndio maana wanaona nafuu kuhonga bunge kupitisha bajeti badala ya kuwapa Watanzania mkakati wa umeme tufanyeje????????? Bora wote wakajiudhuru maana mkubwa wao hana majibu wakati yeye ni Raisi wa nchi!!!!!!!!!
 
mpaka ashuke malaika atwambie chukueni hatua vinginevyo sisi ni wadanganyika..yaaan kama la umeme litapita wallah nitaamini kwamba tumelogwa na kikombe cha babu kinahitajika kitaifa..

Kweli nakubali kuwa tumelogwa! hakuna wakati mwingine wa vyama pinzani kuonesha ukakamavu, kama navyo hili jambo la umeme wanalichukulia kama mzaha. Mbona tupo tu, Chadema lianzishe hili tutashiriki kwa wingi bana!
 
Hivi nyie bado mnapoteza muda kufatilia kauri za Jk? Huyu mdingi kishatia pamba masikioni kiasi kwamba haoni wala hasikii. Sasa hivi anachokifanya akishaona mambo yanazidi kuharibika yeye huyooooooo anaenda zake kutalii huko ng'ambo.
 
Yaani ulitegemea jibu tofauti na alilotoa??

Hata mimi namshangaa mdau!! Hivi kwanza tuna rais wa kutoa majibu yenye mashiko zaidi ya pumba tu tulizozoea kusikia kutoka mdomoni mwake??!!!
 
Rahisi wa ccm.
Akirudi lazima apitilize kwenda bagamoyo au lugoba. Akapewe pete mpya ya njano.
 
Yaani ulitegemea jibu tofauti na alilotoa??

Kwanza nilitegemea awafukuze kazi Waziri na naibu wake wa nishati na madini +Jairo, then atafute mtu wa kumsemea esp anapo kuwa hewani. make hupanic akiongea na waandishi wa kimataifa- Yaani afiche upumbavu wake angalau mara moja ktk kipindi chake cha miaka 6
 
Rahisi wa ccm.
Akirudi lazima apitilize kwenda bagamoyo au lugoba. Akapewe pete mpya ya njano.

Kama kweli hayo ya Bagamoyo na pete ya njano basi tukubaliane taifa lote linahitaji kikombe cha babu kama ilivyopendekezwa hapo juu.
 
Tulianzisheni hata leo mimi nipo tayri
Mi niko serious, we fikiria mjamaa aliacha mgao umepamba moto, akaenda Sauzi kwenda kula bata ya birth day ya Mandela na kujifanya ansign deal la uwekezaji.-Kwenye giza la nchi ya TZ, hapa kuna utupu sana kwenye hii ofc!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom