Rais rudi huko uliko bungeni kumechemka

hamna jipya huko bungeni tumezoea kuona hayo maigizo.lawama kila siku!wanatoa hao hao!wanaolalamikiwa hao hao!wengine wana shutuma mpaka mahakamani.lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa.viini macho tu
 
Hivi wanajeshi wetu wako wapi kupindua nchi haraka wkt kila uchwa afadhari ya jana?.......sahamani nisije nikaambiwa nahamasisha wanajeshi kuasi km alivyo fanyiwa yule mwandishi nadhani ni wa tz daima
 
Mwache akirudi anakuta watu wamezajana airport kwenye runway ndege inashindwa kutua, akijaribu Zanzibar anakuta hivyo, KIA anakuta hivyo hivyo akijaribu kwenda Mwanza mafuta yanamwishie akiwe angani anadondoka chini. Tunatangaza uchaguzi mpya. Hiyo ndo inamuweza.
 
Wabongo mpaka uwanyee mdomoni ndo watajua kwamba ùnawadharau.Hii dharau ya serikali ya majambazi inaokana ni ýa kawaida tù
 
Kama yupo SAO Paulo kwa sasa ni 08:44:00 BRT atakuwa anakunywa chai

Mkuu yuko Barasilia na kwa sasa atakuwa na ziara ya kutembelea wakina Ronado De Lima na uwanja wa kihistoria wa Marcana make ndo ratiba ya ziara yake inonyesha, Jana alikuwa na Maximo na leo ni wakina De Lima
 
Back
Top Bottom