Rais Obama Kuwaona Viongozi Vijana vya Afrika ya Mashariki

Bibi Amy

Member
Nov 28, 2009
11
0
Hamjambo Watu Wenu,

Nilisoma makala inayosoma Rais Obama atawaona mia moja kumi na tano viongozi watoka arobaini na sita nchi za Afrika kusini za Sahara. Watazungumza juu ya uwezo wa kuona mbali katika nchi zao wakati ujao.

Swali yangu ni hii: nani ni viongozi vijana vingine kwamba watu wa kawaida wanaona kama viongozi? Jina kama nani? Ninakaa Merikani na nataka kujua maoni ya Waafrika wa kweli.

Kiungo cha intaneti: 2010 President's Forum with Young African Leaders

Asante Jamii!

Bibi Amy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom