kmdh
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 503
- 120
Hadithi za vijiweni zitakwisha lini? Hivi unaijua thamani ya dola? USD 85,000 unaijua au umepata wepesi wa kuaindika? Daktari aliyemaliza majaribio na kuanza kazi hatengezi USD 85,000 mkiwa kwenye hivyo vijiwe vya kahawa uliza kwanza; hivi kwa akili inakujia ukishindwa na maisha Marekani ya bongo utayaweza? Msipoteze muda kuandika vitu msivyovijua Marekani maisha tambarare asiyefanya kazi jua fika hataki kufanya kazi.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Usijipe moyo dogo. Kama umeshindwa kutengeneza USD 85,000 kwa mwaka hapo US wewe ni loser na maisha yako si tambarare. Tena hiyo USD 85,000 kwenye majimbo makubwa kama California au New York si hela kabisa. Hata nyumba ya maana huwezi kununua na mshahara wa USD 85,000. Wewe labda utuambie maisha yako tambarare kwa vigezo vipi. Unatumia criteria gani kuona maisha tambarare?