Rais Obama awakataza uhamiaji kurudisha 'young illegal immigrants'!...Wabeba maboksi wenzangu mpo?

SUZIE .... Nimecheka mpaka mbavu zinataka kunitoka... unajua mimi nilidhani @newyork hayuko vizuri kichwani kumbe ni stress za kushindwa maisha... du pole yake sana...

Msitulaghai wakati tuna mfano hai hapahapa JF (The Big show - Le Mutuz) amekaa huko manchi yenu for years na anajigmba amesoma na anamaexposure lakini tunachoshuhudia ni misele kama pikipiki za Toyo. Hajulikani anaishi wapi maana kila siku kujinadi mara sijui Tabata au CVU, hajulikani ni under 18 au over 50 maana hata familia haitambui ukimsikia full stress mara shogangu Sinta, Joket aaagh yaani anapenda ofa na pati za kudoea ukimuona utafikiri chakuraaa.
 
Hueleweki unachosema rudia tena kwa ufasaha ikiwa kuandika hueleweki utaweza kujieleza? Chama Gongo la mboto DSM
Sasa nikusaidiaje?Nikushushe class?Halafu wewe mzamiaji utakuwa na msaada gani kama ulikimbia shida kidogo tuu na si vita.Sasa madai yako unakimbizana na midude, wanaichomoaje hiyo midude ikifika katika destination?Kuna mtu anataka asaidie familia yako halafu aje akusaidia toa midude. Yaani nyie wazamiaji huwa nawadharau kwa sana, mnakimbia njaa ya siku moja, mnaenda achilia miili kihivyo.Heroes huwa hawakimbii mazingira il awanafanya mzingira yafae kutengeneza maisha.
 
chama kwa taarifa yako hizo mission zako zote kuanzia za kupata viza na huko katika midude yako usidhani kuwa ulikuwa smart sana.Kuna maeneo freemasons wanamalizia mambo katika backgrounds kwa vile wanaihtaji watu kama nyie ambao wanawaitwa social salvage/au social scams muende kwa wingi ili wakawatumie.Na ulipofika ktik a midude yako wengine huwa mnaachiwa tuu na FBI kwa vile ni rahisi kutumika bila kujijua na mwishowe kusaidia vunja mitandao ya midude yenu.mwishowe huwa wanawaachia na kukomaa na big fishes kwa vile nyie si kitu. Sasa kama na wewe nisehemu ya wanaochomolewa midude na halafu unakula miburger kihivyo, halafu ni mwoga wa njaa(mzamiaji) sasa kwanini usibakie huko kwani si risk na bongo bado hatujaruhusu ujinga.Utaganda sana huko jamaa yetu..
 
chama acha uongo hujui chochote.
Uki collapse si uwe unasema.Vipi googling imekuchosha?Au ubongo umezima?watoto wa binamu nyama ya hamu utadhani vitoto vya mwisho unabisha hadi hujui unabishia nini.Kale msosi ushibe uje jaribu tena. Upo visible sana hata katika maandishi, kwa wanaolewa wanaweza visualize na kukuju ni mtu wa aina gani katika real life.
 
Mkorakamili;
Dogo umelost kiana madude yanadhuru angalia usije ukageuka chizi taifa bado linakuhitaji; ushauri wa bure msoo unatosha acha kuvuta maunga utazimika bongo hakuna tiba.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Uki collapse si uwe unasema.Vipi googling imekuchosha?Au ubongo umezima?watoto wa binamu nyama ya hamu utadhani vitoto vya mwisho unabisha hadi hujui unabishia nini.Kale msosi ushibe uje jaribu tena. Upo visible sana hata katika maandishi, kwa wanaolewa wanaweza visualize na kukuju ni mtu wa aina gani katika real life.

Mkoramali,

Mie binafsi kwa kweli sikuelewi unachoandika umeishakuwa Addicted na Valeur kichwa kimearibika vibaya...afadhali kuchakaa nguo unaweza kutafuta zingine sasa wewe umechakaa akili hakuna maarifa wala tiba ya kukusaidia, hujui kuandika unachoandika ni makapi matupu paragraphs hazieleweki.
 
Ritz
Mkorakamili teja la nguvu, washaurini vijana watumie msuba; haya mambo madude waache jamaa inaelekea kichwa kimeshaathirika hasara kubwa kwa wazizi na taifa

It takes 2 loosers to dance.Naona mmeweka favourites zenu.Sijui katik posting zangu wapi kumewafanya muone kuwa mimi ni teja? Inaonyesha jinsi gani mlivyo haribikiwa huku mnataka jipa title great thinkers.Mnaongea Taswira zenu.SASA KWA MTAJI HUU SI MTAJAZA UCHAFU JF.Mtatukana watu humu ndani ,mtapeana moyo humu ndani,mwishowe CCM wakiwaona watadhani nyie ni great thinker watawachukua halafu mkafanya nchi kama ilivyo.Jaribuni pita na kujiehesabia matusi yenu wenyewe ,muone hali halisi.Mnabishana katika uzaimiaji huku mkificha hofu yenu ya maisha.Sisi hatujawahi ogopa njaa ya siku moja.Tumebanana bongo hadi muda wa kutoka na kutembea kwa uhuru ukafika.
 
no comments!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom