Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Obama ambaye yuko nchini Vietnam kwa ziara ya kuaga kama anavyoonekena kwenye hiyo video kaenda kitaa eti kula chakula na kunywa bia, show tupu dadadeki halafu mbona haji Afrika kwetu kuaga yeye si ni first Africana/Black President?
Mbona anaenda kuwaga Wazungu na Wachina peke yake? Mbona haji kuaga Afrika? wakati ninyi Afrika mpaka mliacha kufanya kazi siku anaapishwa eti mtoto wetu fyuuuuuuuu!
Mbona anaenda kuwaga Wazungu na Wachina peke yake? Mbona haji kuaga Afrika? wakati ninyi Afrika mpaka mliacha kufanya kazi siku anaapishwa eti mtoto wetu fyuuuuuuuu!