Rais na kikao cha baraza la mawaziri leo Dodoma

Njoka Ereguu

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
821
335
Baada tu ya Bajeti 2012/2013 kuwasilishwa Mhe. Rasi JK anaendesha kikao cha baraza la mawaziri. Bado tu wanapewa semina elekezi, hazitosha? wafanye kazi sasa, hizo ni gharama ambazo zinaweza kuepukika.
 
Mhh! Tusubiri majibu yao ya kiburi watakapoanza kugaragazwa na wabunge ndani mjengoni na nje ya mjengo kupitia vyombo vya habari.
 
Wanapanga mkakati ya jinsi ya kuikabidhi ikulu kwa chadema mwaka 2015
 
yaani huyu Mgimwa ndo hovyo kabisa..kama nimesikia sawa eti nikitaka ku transfer ownership ya hati za gari ziwe kwa jina langu natakiwa kulipa 5m??? huyu mzee yuko sawa kweli huyu?
 
hvi kazi ya upinzan ni kupinga kila kitu?mbona mzee wa watu kajtahdi sana kwnye bajeti jaman,achen hzo bwana mnaboa sana
 
yaani huyu Mgimwa ndo hovyo kabisa..kama nimesikia sawa eti nikitaka ku transfer ownership ya hati za gari ziwe kwa jina langu natakiwa kulipa 5m??? huyu mzee yuko sawa kweli huyu?

You got him wrong mkuu...sio kutransfer ownership ya hati..ni kama unataka kuisajili gari yako kwa plate number za jina lako..eg,.gari yangu iwe na plate number..IGWE..badala ya T 501 AEL
 
Baada tu ya Bajeti 2012/2013 kuwasilishwa Mhe. Rasi JK anaendesha kikao cha baraza la mawaziri. Bado tu wanapewa semina elekezi, hazitosha? wafanye kazi sasa, hizo ni gharama ambazo zinaweza kuepukika.

Duh! hutaki hata Rais akutane na mawaziri wake? wewe ni mtu wa ajabu sana.
 
hvi kazi ya upinzan ni kupinga kila kitu?mbona mzee wa watu kajtahdi sana kwnye bajeti jaman,achen hzo bwana mnaboa sana

Ongea kwa facts, taja maeneo aliyojitahidi. Kuwazunguka wafanyakazi kwa lugha za ujanja kwenye PAYE? kukumbatia makampuni ya nje? Kusherekea importation ya rice na sukari?......
 
hii bajeti sijui kama itapita!
Hii bajeti itapita kwa kishindo kuliko zote. Yale makofi yaliyokuwa yanapigwa na wabunge wa ccm leo wakati inasomwa ni ishara tosha. Pia wabunge wa ccm wamesema hawako tayari kurudi kwa wananchi kuomba upya kura bunge likivunjwa.
 
Je kuna mtu anaweza kutuwekea bajeti hapa ? Na kuna version ya kiingereza pia au ni kiswahili pekee then sheria wanatunga kwa kiingereza ?
 
Nasikia wabunge wa ccm wamenunua glove za kuvaa mikononi ili wagonge meza saana kuipitisha hii budget ili wasiumie mikono
 
Back
Top Bottom