manenge
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 279
- 17
Imekuwa ni desturi kwa Marais kuweka wanafamilia katika madaraka ya nchi. mfano Museven alimteua mkewe kuwa waziri, Mtoto wake wa kiume kuongoza kikosi chake cha ulinzi wa rais, mtoto wa kikie kuwa katibu Ikulu, mpwawe, shemejiye nk. Je utaratibu huu unaitakia Uganda mema?