Rais Mteule Barack H. Obama!

Will it be a Bradley effect again?


Napenda sana kuchangia mjadala huu, lakini sijajua kabisa maana ya maneno hayo niliyoyawekea wino mwesi.
Mshiiri tafadhali fafanua na utupatie maana ya "Bradley Effect".
 
hehehehheeee...mwanakijiji...see now what i've been dealing with for the past year?
 
There is joke circulating on the net, if Obama wont be a US president, then in Kenya people are going to kill each other...

Sidhani kama Bradley effect yaweza tokea its very obvious Obama is going to clinch the chair in white house.

Ushi


Election process especially where great anticipation inatazamiwa idea switch kutokea is not uncommon. Compaign, Idea, Idea, Idea, ... Decision process within an individual, Voting process, re-decision opportunities, final anticipation, despair ---- all above chain mighty end up on switching the primary decision and opt for last outrising decision or idea, hence a big chance for a Bradley effect..... It may happen and really it is!!
 
Napenda sana kuchangia mjadala huu, lakini sijajua kabisa maana ya maneno hayo niliyoyawekea wino mwesi.
Mshiiri tafadhali fafanua na utupatie maana ya "Bradley Effect".

Bradley effect ni hali iliyowahi tokea Marekani ambapo Bradley Mmarekani mweusi alitokea kugombea na Mzungu na akapata ushabiki mkubwa kama ilivyo Obama hivi leo lakini wakati wa uchaguzi hawakumchagua. Na mainly ilionekana kwa sababu ya rangi yake.

Ndipo hiyo hali kwa upande wa Obama wanahisi isije ikawa ndio itatokea kama ilivyokuwa kwa James? Bradley. Hence coining the effect a Bradley effect.

Nadhani sasa umenipata?
 
Napenda sana kuchangia mjadala huu, lakini sijajua kabisa maana ya maneno hayo niliyoyawekea wino mwesi.
Mshiiri tafadhali fafanua na utupatie maana ya "Bradley Effect".
Idimi, it is a great question na ninadhani mshiiri ni vyema akitoa ufafanuzi kamili, akishindwa tutamsaidia.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wakuu, sasa naelewa maana ya hayo maneno.
Kwa kuchangia mjadala, ni kweli kwamba hali kama hiyo inaweza kutokea, hasa ukizingatia kwamba ni hapa juzi tu vijana 'Wahuni' walimkosa kosa Obama, katika nia yao ya kutaka kumuua.
Sitashangaa sana hali hii ikitokea, ila naungana nanyi kwamba hali ya kisiasa ya Marekani baada ya 'tukio' hilo la 'kibaguzi' huenda isiwe vile wengi tulivyoizoea.

Lolote laweza kutokea!
BTW: Matokeo ya awali yakoje?
 
he is not pro choice for there is no higher choice than that of life; he is pro-abortion which is the purposeful termination of unborn child for convenience sake or any reason, or for no reason at all. That is not pro-choice that is pro-abortion. Pro-choice is just a mere euphemism for pro-abortion.

Na yule dada yako kule kijijini akibakwa na lidume ambalo limemfanyia unyama, aendelee kumkumbuka mhalifu aliyembaka kwa kuwa na mtoto wa mbakaji milele.

Mjj unasema kiurahisi kwasababu wewe ni mwanaume unaweza kufanya mapenzi na mwanamke na akiwa na mimba unaweza kumkana nakuhamia mji mwingine na ukayasahau, mwanamke atasahau vipi kama alibakwa na akawa na mimba, tena mimba yenyewe awe na mtoto wa mhalifu.

Mimi sio mwanamke lakini naona sheria nyingine zimewekwa kwa kuwakandamiza wanawake.
 
Mzee Mwanakijiji

Sioni hoja iliyosimama uliyotumia kumlinganisha Obama na Kikwete.

Dunia inamshabikia Obama kwa sababu ya ubabe ambao Bush ameufanya duniani.

Waafrika na wengine, popote pale wanaomshabikia Obama kwa sababu ya weusi wake, wana haki hiyo ili mradi sio wao wanaompigia kura.

Hapo umelonga kijana!
Hata mie sikubaliani na Mwanakijiji kwamba sisi tulio wengi kwa mamilioni hapa Afrika tunamshabikia Obama kwa sababu ya "RANGI" yake. La hasha. Wengi tunachukizwa na sera za Bushi na chama chake, ambazo zimefanya dunia isiwe mahali pema pa kuishi! Ugaidi unatulaza macho, na sasa uchumi wa dunia unayumba kutokana na sera zao mbovu! Kwa hiyo basi, hatuko tayari kuona kwamba tunarudia makosa yale yale ya kukichagua chama cha Bush ambacho kitaturudisha kwenye shida zile zile!
Hizi ndio sababu zinazotufanya tushangilie chama mbadala wa Republican.
 
Mara nyingi huwa nakaa pembeni na kuangalia.... sitting back and watch in other words,lakini kwa hili naomba nitofautiane moja kwa moja na mwanakijiji.
Mwanakijiji sijui ni aina gani ya fallacy uliyotumia,lakini tisini ya mia ya ulichoandika hapo juu umeegemea katika kujistify ama kwa hakika utendaji wa Kikwete kwa kutumia mgongo wa Obama.Sijui kama Chane aliyoieleza president wetu inashabihiana kwa kiasi gani na Change anyohubiri Obama.Wawezaje kumfunga mamba kwa kamba kuukuu pasipo kujua uhodari wake?Ni kipi kinachokupa wasiwasi kuwa Obama atarudi na kuwa sawa na Kikwete?
Je umetathmini kwa kina Uongozi wa Obama kwa kipindi hiki ambacho ni seneta na kuona mapungufu yeyote ambayo yatakufanya ama kwa hakika kusimamia Hoja yako,
Hoja ya rangi uliyoisema siipingi moja kwa moja,yaweza kuwa ni moja wapo ya vitu ambavyo vimewafanya watu wa mataifa mbalimbali kumkubali.Lakini je wataka kuniambia ingekua ni mweusi yeyote tu (Athumani Mwendapole,Mwajuma ndalandefu n.k) angesimama angepata wafuasi kama alivyopata Obama....Hapa nazungumza iwapo mjadala wako umeegemea kwenye rangi.Nina hakika rangi yaweza kuwa moja wapo ya kitu kilichowapa watu msukumo wa kuona huyu mtu ataweza wafanyia wamarekani.Lakini huwezi kutanguliza hoja hii bila ya kuzingatia kwa umakini hoja nyingine zinazoifunika hii.
Sera ulizozitaja ambazo unaziona kuwa ni hasi haziwezi kuzifunika zile mia chanya!!
 
Mzee,

Mbona unataka kupandisha watu pressure bure. Maoni yako unatuwekea hapa kama breaking news as if it has been reported to be happening right now. Au ulitaka uwe na thread yako??????

Of course there is such a possibility ambayo watu kama akina Nyani McCain wanaiombea itokee...........!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu wote kuna kila dalili za huyu mwenzetu kuwa anatimiza ndoto za Martin Luther King Jr kuwa ipo siku Mwafrika ataiongoza America na kutokomeza wimbi la ubaguzi. Hadi sasa kuna kijimbo kinaitwa DIXVILLE NOTCH, New Hampshire: Obama ameshinda kura 15 kati ya 21 na mpinzani wake amepata kura 6 tu. Kijimbo hiki kina historia ya kutopendelea wagombea kupitia Democratic, hivyo kuwasusa tangu mwaka 1968 ambapo waliacha kumpigia mgombea yeyote kupitia tiketi ya Democratic. Lakini kwa kuwa na imani na Chama cha Democratic safari hii wameamua kufanya kweli. Inasemekana kuwa kati ya waliojiandikisha asilimia 100 yote imepiga kura leo na kuleta mabadiliko hayo. Mengi zaidi fuata link hii

Dixville Notch has spoken: It's Obama in a landslide - CNN.com
 
Hata mimi kwa mtazamo wangu naona kuwa licha ya Obama kumgaragaza Mcain katika midaharo yote bado kuna hali tata inayoweza kutushangaza wengi katika uchaguzi huo. Inasemekana mpaka j'mosi last week karibu 7-12% ya wapiga kura bado walikua hawajui siku ya kupiga kura wampigie nani hili ni tatizo. Pia uwezekano wa Bradley effect kujirudia hata mimi naona ni mkubwa kwani bado wazungu racism haijawatoka jambo linalonipa hofu kuwa wanaweza kabisa kumpiga chini Obama.Ingawa kwa upande mwingine nguvu ya Obama yaweza kuwa katika justification ya run mate wake ambaye ana uzoefu wa hali ya juu hata kama yeye Obama bado mchanga katika siasa kiasi cha kupewa jukumu la kuongoza taifa hilo kubwa ulimwenguni.

But am also closing my fingure so that obama can win....itakuwa mapinduzi makubwa sana.
 
Watanzania kamwe hatumuungi mkono mgombea Urais wa US kwa kuangalia rangi yake bali sera zake. Ndiyo maana katika miaka ya nyuma tuliwaunga mkono akina Clinton, Kerry, Al Gore, Jimmy Carter ambao hawakuwa weusi lakini sera zao zilikubalika na Watanzania wengi ukilinganisha na sera za wagombea wa Republicans

Sasa hivi Obama anaungwa mkono dunia nzima isipokuwa Israel tu. Japan, China, East and West Europe, Canada, Russia, North and South Korea, Middle East na Africa yote mgombea wanayemuunga mkono ni Obama. Kwa hiyo utaona kwamba Obama ana mvuto mkubwa sana duniani kote na kama angekuwa anagombea katika nchi yoyote ile duniani with exception ya Israel angeshinda ushindi wa kishindo kikubwa sana. Walimwengu wengi watakuwa katika majonzi kama Obama akishindwa. Kila la heri Obama.

Du. Kama ni hivyo Obama ana kazi kubwa ya kuhakikisha anatawal kwa kujificha ili asitunguliwe kwa kipindi chote cha miaka 4 atakachokuwa madarakani. (ikiwa atashinda).
 
Ndugu zangu wote kuna kila dalili za huyu mwenzetu kuwa anatimiza ndoto za Martin Luther King Jr kuwa ipo siku Mwafrika ataiongoza America na kutokomeza wimbi la ubaguzi. Hadi sasa kuna kijimbo kinaitwa DIXVILLE NOTCH, New Hampshire: Obama ameshinda kura 15 kati ya 21 na mpinzani wake amepata kura 6 tu. Kijimbo hiki kina historia ya kutopendelea wagombea kupitia Democratic, hivyo kuwasusa tangu mwaka 1968 ambapo waliacha kumpigia mgombea yeyote kupitia tiketi ya Democratic. Lakini kwa kuwa na imani na Chama cha Democratic safari hii wameamua kufanya kweli. Inasemekana kuwa kati ya waliojiandikisha asilimia 100 yote imepiga kura leo na kuleta mabadiliko hayo. Mengi zaidi fuata link hii

Dixville Notch has spoken: It's Obama in a landslide - CNN.com

Acha kupotosha watu wewe. Ndoto ya MLK haikuwa kuona siku Marekani inaongozwa na Mwafrika. Kwanza Obama sio mwafrika. Pili ndoto ya MLK ilikuwa ni kuona kila mtu anatendewa kwa haki na usawa bila kujali rangi. Hilo ni muhimu zaidi kuliko nani anaongoza Marekani.
 
Oyaaa...taratibu nyie watu.....mshaanza kuongea kama vile kashinda.... Obama bado hajashinda na sidhani kama atashinda uchaguzi huu.
 
Nionavyo, watu hawamshabikii Obama kama Obama. Kinachowasukuma watu kumshabikia ni chuki yao dhidi ya sera za Bush
 
Obama siyo mwafrika ila ni nani?

(a) mmarekani mweusi mwenye asili ya afrika
(b) mzungu
(c) mwafrika wa marakeni

lipi jibu sahihi hapo?
 
Nionavyo, watu hawamshabikii Obama kama Obama. Kinachowasukuma watu kumshabikia ni chuki yao dhidi ya sera za Bush

Hapana...watu wanamshabikia Obama kama Obama. Yale yale ya Kikwete. Obama hana rekodi yoyote kama Kikwete alivyokuwa hana rekodi. Angalau Kikwete alikuwa keshakuwa waziri kwa muda mrefu. Obama hata miaka miwili kwenye senate hana.....na mijitu inashangilia yes we can, hope, change...what the hell?
 
Ningekuwa Marekani nigempigia kura Obama. Bila kujali policies zake. Kisa, ana damu ya Kiafrika (hasa Afrika mashariki). Nukta.
 
Acha kupotosha watu wewe. Ndoto ya MLK haikuwa kuona siku Marekani inaongozwa na Mwafrika. Kwanza Obama sio mwafrika. Pili ndoto ya MLK ilikuwa ni kuona kila mtu anatendewa kwa haki na usawa bila kujali rangi. Hilo ni muhimu zaidi kuliko nani anaongoza Marekani.

Do no not be so parochio idealy the dream he had is so wide my dear.

"I have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the colour of their skin but by the content of their character"


Martin Luther King


FULL STORY:
1963: King's dream for racial harmony
The fight for racial equality in the United States moved a step closer to victory today as Martin Luther King spoke of his dream for freedom in an address to thousands of Americans.
Reverend King was greeted with rapturous applause as he delivered his heart-felt words to a 250,000-strong crowd of civil rights protesters at the Lincoln Memorial in Washington DC.

He spoke of the need "to rise from the dark and desolate valley of segregation to the sunlit path of racial justice".


I have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the colour of their skin but by the content of their character


Martin Luther King


Luther King Jr.jpg

He promised that the struggle for equality would continue until "justice rolls down like waters and righteousness like a mighty stream".

Rev King, who has worked tirelessly for an end to racial discrimination through non-violent means, spoke repeatedly of his dream for equality.

"I have a dream," he said. "I have a dream that my four little children will one day live in a nation where they will not be judged by the colour of their skin but by the content of their character.

"I have a dream today.

"I have a dream that one day every valley shall be engulfed, every hill shall be exalted and every mountain shall be made low, the rough places will be made plains and the crooked places will be made straight and the glory of the Lord shall be revealed and all flesh shall see it together."

Dr King, who is president of the Southern Christian Leadership Conference (SCLC) first came to prominence in 1955 when he led a 382-day bus boycott in an attempt to end segregation on city buses.

Since then he has endured numerous arrests, violent harrassment and a bomb attack on his home.

But his struggle continues and it is believed today's speech will have a lasting impact on all who heard it.
 
Back
Top Bottom