Rais Mstaafu Mwinyi: Watanzania Wamevimbiwa Raha

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Rais Mstaafu anaamini watanzania wana raha sana, kwamba raha waliyonayo watanzania ni nyingi kupita kiasi, anasema sasa ni kama wamevimbia ndio maana wanaongeaongea sana.

Source: TBC Habari.

MyTake:
Hawa viongozi wakiwa wanapita barabarani wanasafishiwa njia, hawajui adha ya mfumuko wa bei wala ukosefu wa ajira maana yake nini, Mwinyi kajisahau.

kuna nchi watu walikua na njaa sana, kulikua hakuna mke wa mfalme alipoulizwa kuhusu njaa za watu, kwa mshangao akasema sasa kama hawana mkate si wale keki? naomba Mh Rais mstaafu ndicho kitu anafanya, kajisahau sana!
 
Mkuu hebu fafanua kidogo. Alikuwa anaongelea issue gani hasa? Au kwenye tukio gani? Au kilichompelekea kutoa kauli hiyo ni nini?
 
Aseme hayo maneni mbele ya wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Huyu Mzee ni Mnafik sana. Acha kijana amchape kibao, stahili yake.
 
Yeye ndio anaonekana amevimbiwa posho na kiinua mgongo tangu 1995 hadi leo...lazima aseme hivyo maana alichofanya akiwa rahisi na anavyokula kwa sasa havina uwiano hata kwa 1:40 hata kidogo!!hakustahili kukaa kiti kile,hakufanya lolote kwa taifa,anakula hadi kuvimbiwa!!lazima atapayuka!!wazee wetu wameteseka miaka 35 hadi 40 wanalipwa pensheni 50,000 kwa mwezi kila miezi 6 wanataka waende wakasajiliwe na kuhakikiwa upya kuwa labda wamekufa!!!
 
Huu uzee nao ni bara wakati mwingine yaani wenzake tunavyo pigika na maisha kichwani mwake anapata tafsiri ya watanzania kuwa na maisha ya raha.tutakapo pata maisha ya raha kuna hatari ya kuambiwa kuwa watanzania tunaishi maisha ya shida.hii ni kali.
 
Rais Mstaafu anaamini watanzania wana raha sana, kwamba raha waliyonayo watanzania ni nyingi kupita kiasi, anasema sasa ni kama wamevimbia ndio maana wanaongeaongea sana.

Source: TBC Habari.

MyTake:
Hawa viongozi wakiwa wanapita barabarani wanasafishiwa njia, hawajui adha ya mfumuko wa bei wala ukosefu wa ajira maana yake nini, Mwinyi kajisahau.

kuna nchi watu walikua na njaa sana, kulikua hakuna mke wa mfalme alipoulizwa kuhusu njaa za watu, kwa mshangao akasema sasa kama hawana mkate si wale keki? naomba Mh Rais mstaafu ndicho kitu anafanya, kajisahau sana!
we ni mchochezi hebu weka taarifa yako vizuri
 
Mkuu hebu fafanua kidogo. Alikuwa anaongelea issue gani hasa? Au kwenye tukio gani? Au kilichompelekea kutoa kauli hiyo ni nini?

Alikua anazungumzia vurugu za UAMSHO akimaanisha kuwa kuna baadhi ya watu wamechoka amani tuliyonayo na kuamua kuleta vurugu za kuvunja muungano.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inatakiwa ujue kiswahili fasaha ili ujue anachosema mzee mwinyi Hivi mbona watu wa humu hamna adabu kumsema mzee wa watu aliyeifanyia makubwa nchi yetu? Basi kuweni na shukrani japo mara moja.
 
Yeye ni mmoja wa waasisi wa huu ujinga ama ni kati wa viongozi/watawala wa nchi ambaye amufumbia macho huu ujinga na leo umefikia hapa. Ni mtu mzima,akili makosa yake,aache unafiki!
Alikua anazungumzia vurugu za UAMSHO akimaanisha kuwa kuna baadhi ya watu wamechoka amani tuliyonayo na kuamua kuleta vurugu za kuvunja muungano.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Alikua anazungumzia vurugu za UAMSHO akimaanisha kuwa kuna baadhi ya watu wamechoka amani tuliyonayo na kuamua kuleta vurugu za kuvunja muungano.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ndiyo alichosema...ila mzee mwinyi naona amesahau lile kofi alilokung'utwa kwa sababu ya kuhimiza matumizi ya condom...sijui UAMSHO watampa adhabu gani!?
 
Kama ni ishu ya kuvimbiwa raha hao anaosema wamevimbiwa hiyo raha watakuwa ni drug dealers na mafisadi sio wanaofanya kazi za jasho na kuumiza kichwa kupita kiasi ili wapate kula
 
Alikua anazungumzia vurugu za UAMSHO akimaanisha kuwa kuna baadhi ya watu wamechoka amani tuliyonayo na kuamua kuleta vurugu za kuvunja muungano.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

huyo mzee muache alopoke maana wao kama navimbiwa wajue sisi huku ulaian 2nateseka kwasababu hajui mfumko wabei waache watese nahuku sisi 2kiteseka ndiyo mfumo uliopo wa mh j.k
 
walahi angekuwa karibu yangu ningemlamba makofi matatu. Matatizo yote tuliyokuwa nayo watanzania anaongea utumbo namna hii?
 
Rais Mstaafu anaamini watanzania wana raha sana, kwamba raha waliyonayo watanzania ni nyingi kupita kiasi, anasema sasa ni kama wamevimbia ndio maana wanaongeaongea sana.

Source: TBC Habari.

MyTake:
Hawa viongozi wakiwa wanapita barabarani wanasafishiwa njia, hawajui adha ya mfumuko wa bei wala ukosefu wa ajira maana yake nini, Mwinyi kajisahau.

kuna nchi watu walikua na njaa sana, kulikua hakuna mke wa mfalme alipoulizwa kuhusu njaa za watu, kwa mshangao akasema sasa kama hawana mkate si wale keki? naomba Mh Rais mstaafu ndicho kitu anafanya, kajisahau sana!
mzee ruksa anamuongelea Shibuda hapa bila shaka.
 
mwinyi kama yeye ni kidume aende kwao zanzibar akatamke haya maneno kwenye wana uamsho. mbona ajificha huku bara watampiga makofi tena
 
Back
Top Bottom