Elections 2010 Rais mstaafu Mwinyi aibuka kule Mbweni na ajaribu kuokoa jahazi la CCM!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili usiku akimnadi Jk na wagombea wengine wa ubunge wa Kawe na kata ya Mbweni kwa udiwani.

Lakini ukilinganisha na mahudhurio ya Chadema jana hapohapo Kawe utaona kwa uwazi ya kuwa kweli ushawishi wa Mzee Rukhsa sasa umefikia ukingoni kwani ni watu wachache walijitokeza na wengi wao ni watoto ambao hata hivyo hawatapiga kura. Mahudhurio hayo yalikuwa yanasononesha kabisa moyo na walikuwa kama wanaonekana ni wakiwa vile kwa kujua hatma ya CCM iko ukingoni musimu huu.

Ushauri wangu JK angelimwachia mzee wetu ale pensheni yake bila zengwe lolote kwa sababu hana mchango wowote ule kwenye kampeni za mwaka huu.
 
Lakini ukilinganisha na mahudhurio ya Chadema jana hapohapo Kawe utaona kwa uwazi ya kuwa kweli ushawishi wa Mzee Rukhsa sasa umefikia ukingoni kwani ni watu wachache walijitokeza na wengi wao ni watoto ambao hata hivyo hawatapiga kura. Mahudhurio hayo yalikuwa yanasononesha kabiaa moyo na walikuwa kama wanaonekana ni wakiwa vile kwa kujua hatma ya CCM iko ukingoni musimu huu.

Ushauri wangu JK angelimwachia mzee wetu ale pensheni yake bila zengwe lolote kwa sababu hana mchango wowote ule kwenye kampeni za mwaka huu.

I agree with you hapo kwenye red
 
Tatizo wanashindwa kusoma alama za nyakati..There is a blowing wind, lakini bado wanajifanya hawaelewi na kuikubali hiyo hali.
 
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili usiku akimnadi Jk na wagombea wengine wa ubunge wa Kawe na kata ya Mbweni kwa udiwani.

Lakini ukilinganisha na mahudhurio ya Chadema jana hapohapo Kawe utaona kwa uwazi ya kuwa kweli ushawishi wa Mzee Rukhsa sasa umefikia ukingoni kwani ni watu wachache walijitokeza na wengi wao ni watoto ambao hata hivyo hawatapiga kura. Mahudhurio hayo yalikuwa yanasononesha kabisa moyo na walikuwa kama wanaonekana ni wakiwa vile kwa kujua hatma ya CCM iko ukingoni musimu huu.

Ushauri wangu JK angelimwachia mzee wetu ale pensheni yake bila zengwe lolote kwa sababu hana mchango wowote ule kwenye kampeni za mwaka huu.
Kweli ameonekana ITV hebu tembelea hapa

YouTube - Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao
 
Hata wamlete nani mwaka huu wameshindwa. Kazi yetu ni kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mafisadi na kuirudisha Tanzania kwa Watanzania wenye uchungu wa kweli wa kuiendeleza na si uroho na ujinga wa kuiuza kama ambavyo Mkapa na Kikwete wamefanya.
 
Kwa kweli angepumzishwa mzee wa watu hata sauti haitoi,Halafu hata Jakaya mwenyewe kachoka sana leo nimemuonea huruma sana alipokuwa Karatu sijui ni ule umati fake ulikuwa unamtisha alionyesha wazi mno kuwa amechoka sana sana jamani wampumzishe hata kwa siku moja tuu
 
Mzee wetu ameamua kwenda kujichafua!!! Labda atajitetea kwa jinsi alivyoanza kujitetea, maana amesema "Nimetumwa nije kumuombea kura raisi wetu Jakaya Kikwete na mimi nafikisha ujumbe"
 
Baada ya maswali mengi kuzagaa kuwa wastaafu wa CCM na serikali yake aidha wamemsusa JK au wamesoma alama za wakati na kuingia mitini, Raisi Mstaafu Mwinyi alionekana ITV taarifa ya saa mbili usiku akimnadi Jk na wagombea wengine wa ubunge wa Kawe na kata ya Mbweni kwa udiwani.

Lakini ukilinganisha na mahudhurio ya Chadema jana hapohapo Kawe utaona kwa uwazi ya kuwa kweli ushawishi wa Mzee Rukhsa sasa umefikia ukingoni kwani ni watu wachache walijitokeza na wengi wao ni watoto ambao hata hivyo hawatapiga kura. Mahudhurio hayo yalikuwa yanasononesha kabisa moyo na walikuwa kama wanaonekana ni wakiwa vile kwa kujua hatma ya CCM iko ukingoni musimu huu.

Ushauri wangu JK angelimwachia mzee wetu ale pensheni yake bila zengwe lolote kwa sababu hana mchango wowote ule kwenye kampeni za mwaka huu.
Sasa JK atoe ushirikiano kwa kumuazima Mzee Ruksa akina Matonya na Marlow

Mzee Rukhsa na F. T. Summaye, endeleeni kula pensheni zenu. Kampeni waachie JK, SK, RK, YM na AOK.
 
Hahahaaaaa wapi Mr Bennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn, umeona Babu Ruksa katokota mbyaaaaaaaaaa.:bowl:
 
Tatizo wanashindwa kusoma alama za nyakati..There is a blowing wind, lakini bado wanajifanya hawaelewi na kuikubali hiyo hali.
Baada ya uchaguzi JK ataomba list ya vigogo ambao hawaku msaporti kwenye kampeni. Mzee kaingiwa na woga
 
Mkuu nami niliona, niliishia kucheka. Kumbe kura za mwaka huu ni Raia wema V/s MAFISADI
 
Back
Top Bottom