Rais mstaafu Mkapa yu wapi?

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
574
222
Naomba mnijuze yu wapi mzee wa zama za ukweli na uwazi mzee wetu BENJAMINI W MKAPA?

Namkumbuka miye kwani sasa maisha ya watanzania wengi kama miye wanaishia mlo mmoja, ama kweli JK ametutenda!

Nawasilisha
 
Yuko nyumbani kwake Lushoto kakimbia msongamano wa magari Dar.Alisema kweli mtanikumbuka, maana tangu aingie huyu nuksi Tanzania imekuwa zama za DHIKI KUU
 
na kweli tunamkumbuka,aliiba ila alitukumbuka!mazagazaga na manjale tulipata!ila uyu brazamen kudadek kaz tunayo!
 
yupo busy na mambo ya usuluhishi wa migogogro barani africa he is internationally recognised- ana malizia kazi zake alizopewa kuhakikisha sudan kusini inakitawala,hana muda wa kuuza sura na kujichekesha hovyo!
 
mavi ya kale hayanuki.... tumwache apumzike ila tunakiri na kujuta kwamba kwa kumweka jk tumerokoroga na sasa twarinywa
 
ufisadi umepikwa toka enzi za mkapa eg epa, meremeta, kagoda, deep green nk ametuachia umasikini na huyu ****** anauendeleza na richmond. wote magamba wana kesi ya kujibu serikali makini ikipatikana.
 
ufisadi umepikwa toka enzi za mkapa eg epa, meremeta, kagoda, deep green nk ametuachia umasikini na huyu ****** anauendeleza na richmond. wote magamba wana kesi ya kujibu serikali makini ikipatikana.
Hapo kwenye blank nadhani ulitaka kuandika ******
 
Anapumzika na kula pensheni baada ya kuvipiga vita vilivyo vizuri mwendo kuumaliza na imani kuilinda. Amewaachia wanamtandao waiendeshe nchi hii wanakotaka kuipeleka!
 
ufisadi umepikwa toka enzi za mkapa eg epa, meremeta, kagoda, deep green nk ametuachia umasikini na huyu ****** anauendeleza na richmond. wote magamba wana kesi ya kujibu serikali makini ikipatikana.
Yes, mapishi yalianza enzi zake lakini wapikaji walikuwa ni genge kuu likiongozwa na 'Igunga' na 'Monduli' ambalo lilijipanga kumwingiza mzururaji magogoni. Kwa jinsi genge hilo lilivyojipanga, mzee wa watu wa uwazi na ukweli hakuwa na jinsi ya kuzuia.

Lakini kama alivyosema mwenyewe, hakika watanzania hatutakaa tumsahau na alisema hivyo kwa kuamini alichokuwa anasema kutoka moyoni mwake kabisa. Tuombe Mungu huyu mzururaji amalize muda wake na kupata kiongozi mzalendo na mwenye uchungu na wananchi wenzake.
 
tutamkumbuka kwa ubaguzialiotufanyia na wizi aliofanya kuiba rasilimali zetu kisha kutufumba midomo bila kutupa ganji kuona.
 
Yuko nyumbani kwake Lushoto kakimbia msongamano wa magari Dar.Alisema kweli mtanikumbuka, maana tangu aingie huyu nuksi Tanzania imekuwa zama za DHIKI KUU

Lushoto? Mwizi tu huyo Mkapa ameiba Ikulu yetu ya Lushoto halafu unasema yupo nyumbani kwake Lushoto? yupo kwenye Ikulu yetu aliyoibinafishisha shio Nyumba yake
 
yupo busy na mambo ya usuluhishi wa migogogro barani africa he is internationally recognised- ana malizia kazi zake alizopewa kuhakikisha sudan kusini inakitawala,hana muda wa kuuza sura na kujichekesha hovyo!

Alitufikisha kwenye single digit inflation rate of 4%
 
Mkapa atakumbukwa na sisi wana CCM, siyo nyinyi Chadema.

Kwani unaposema sio wanachadema, ina maana kipindi chake kulikuwa na marais wawili (yaani wa ccm & cdm)? Changia mada acha kudandia chama ambacho kina wenyewe. kwenye cc yao hawakutambui, sasa badala ya kuchangia mada unaanza kujigamba na chama.

Haya basi kama unasema Mkapa alikuwa ni wa ccm ok well n good, na huyu wa sasa? linganisha utendaji wao ukoje. Kisha tujuze
 
Kwa watu makini itabidi wabeze tu ile asilimia inayomponda BWM na kumhusisha na kashfa hizo za kubuni. Ni kweli hamna mtu anayeweza kuwaridhisha watu wote duniani. BMW ni jina la kimataifa tuna mmiss sana kwa ile governance style yake.
 
Back
Top Bottom