Rais Mpigaji, Waziri Mpigaji, Katibu Mkuu Mpigaji... wengine wafanye nini?

Mchokonoko

New Member
Jan 5, 2012
1
0
Jamani hii ndo Hali ilivyo,Je unafikiri yule mfanyakazi wa chini kabisa atafanya nini pale anapokutana na chance ya kupiga???
 
Kuna watu wanakwiba serikalini ukiwauliza wanakwambia mkuu ndo zama izi atakuja raisi mnoko kama Magufuri patakuwa hapakaliki
 
mwanakijiji mkulima na street fighters ndo tunaoitwa wananchi wa kawida. Wale ambao mikono yao haifikii keki ya taifa. Yaani sio watumishi wa umma wala wadau wakubwa.
 
Back
Top Bottom