Rais mmewatoa kipawa wakakatwe mapanga pugu

Mar 6, 2010
74
0
Wakati rais akikata awimbi kuelekea namibia
wakazi wa kipawa wanazidi kuendelea kuakatwa
mapanga huku si mkuu wa mkoa wala wa wilaya anaeliongelea;hakika inasikitisha pale watu wanapoamishwa na kwenda kupewa viwanja feki huku serikali ikidai imewapimia ;...huu ni uhhuni kabisa
sidhani serikali kama ya kikwete inaweza fanya mambo ya kihuni na watu kuishia kukatwa mapanga;wawezaje kuchukua ardhi ya watu bila kuwalipa ulinunua wwewe hivyo viwanja???kwa upande wa pugu wa na haki ya kudai viwanja vyao;huu si ustaarabu.........

Serikali tunaomba waangalien watu wa kipawa ni binadamau kama nyie mnapishana sehemu ay kuishi pugu na masaki lakini kila mtu ana haki zake tusiwatupe hawa watu kama wanyama jamani

rais kikwete ukirudi tunaomba ufwatilie mkuu kabla ya kukwea pipa kwingine;tunatumia zaidi ya million 300 kwa safari moja je kuwahakikishia hawa usalama wao sioni tatizo
 
Hii issue nayo inathibitisha ukweli kwamba watu wengi walio kwenye ofisi za umma hawajali kabisa kufanya kazi kwa kutumia taratibu na kanuni walizoziweka. Ni kujari kutafuta pesa tu.
 
Back
Top Bottom