Rais Magufuli: Waziri mzima unampelekaje mkeo ATCL?

Aug 16, 2016
43
56
Wadau,

Akiongea wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili jana , Raisi wetu mpendwa, kipenzi cha masikini, alisema " Kuna mawziri wamepeleka wake zao ATCL, wakati wao ni mawaziri, na wanajua shirika linafanya vibaya". Aliongea haya maneno akimuagiza DG na Bodi kuwashughulikia wale wote ambao amesema hawako tayari kwenda inavyotakiwa na hawataki kubadilika. Pia aliwaagiza wafanyakazi wa ATCL wajirudi na kutubu wenyewe ili waingie kwenye ufalme wa ndege mpya.

Nina maswali kadhaa wandugu mnisaidie hapa:
1. Hao mawaziri waliopeleka wake zao huko ATCL ni kina nani?
2. Je wake zao wana sifa za kazi walizopewa?
3. Je wake hao , ni kweli walipelekwa, au waliona matangazo ya kazi wakaomba kazi kama waombaji wengine na wakapita kwa sifa zao?
4. Kama walikuwa na sifa, lini ikawa mwiko wake za mawaziri kufanya kazi wakati waume zao wakiwa mawaziri? Na je ikitokea mke ndo waziri, mume wake atatakiwa kutoajiriwa serikalini?
5. Najua mke wa Mheshimiwa Raisi ni mwalimu kitaaluma, na kwamba alistaafu majuzi tu ili aungane na Mheshimiwa Raisi kama "first Lady" kuendesha majukumu ya uraisi. Swali langu : hivi wakati wote Raisi Magufuli alipokuwa waziri serikalini, matatizo ya walimu hayakuwapo? Kama yalikuwapo , ilikuwaje yeye alimwacha Mama Janeth Magufuli aendelee kufanya kazi ilihali yeye ni waziri?

Basi wakuu, naombeni mnisaidie . Tafadhali jenga hoja...

cc: Ritz , Lizaboni , FaizaFoxy , Pasco , Ben Saanane na wengine wengi
 
adau,

Akiongea wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili jana , Raisi wetu mpendwa, kipenzi cha masikini, alisema " Kuna mawziri wamepeleka wake zao ATCL, wakati wao ni mawaziri, na wanajua shirika linafanya vibaya". Aliongea haya maneno akimuagiza DG na Bodi kuwashughulikia wale wote ambao amesema hawako tayari kwenda inavyotakiwa na hawataki kubadilika.
Duh.....Magu naye sa zingine anatuangusha sana. Sasa hawa mawaziri si ni wateule wake? Kama walichofanya ni makosa kisheria au kimaadili, mamlaka ya nidhamu ni yeye. DG na Bodi anawapa kazi ambayo alipaswa aifanye yeye? Au 'mmemkwoti' vibaya jamani?
 
Wadau,

Akiongea wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili jana , Raisi wetu mpendwa, kipenzi cha masikini, alisema " Kuna mawziri wamepeleka wake zao ATCL, wakati wao ni mawaziri, na wanajua shirika linafanya vibaya". Aliongea haya maneno akimuagiza DG na Bodi kuwashughulikia wale wote ambao amesema hawako tayari kwenda inavyotakiwa na hawataki kubadilika. Pia aliwaagiza wafanyakazi wa ATCL wajirudi na kutubu wenyewe ili waingie kwenye ufalme wa ndege mpya.

cc: Ritz , Lizaboni , FaizaFoxy , Pasco , Ben Saanane na wengine wengi
iVI KUMBE NI KIPENZI CHA MASKINI?? ATAKUAJE KIPENZI CHA MASKINI KAMA HAWAJALI?? UNANUNUA NDEGE WAKATI HOSPITALI SINDANO YA TETENASI HAMNA???
 
Yy akiuliza ss tufanyaje sasa!?huko awaache tu hata wakipeleka na watoto zao sawa no impact,amalize kwanza la Escrow na Lugumi kwani haya yanashida gani!?anakimbia na vijitu vidogovirogo tu alafu majitu mengine kazi kusifia tu,
 
Wadau,

Akiongea wakati wa uzinduzi wa ndege mpya mbili jana , Raisi wetu mpendwa, kipenzi cha masikini, alisema " Kuna mawziri wamepeleka wake zao ATCL, wakati wao ni mawaziri, na wanajua shirika linafanya vibaya". Aliongea haya maneno akimuagiza DG na Bodi kuwashughulikia wale wote ambao amesema hawako tayari kwenda inavyotakiwa na hawataki kubadilika. Pia aliwaagiza wafanyakazi wa ATCL wajirudi na kutubu wenyewe ili waingie kwenye ufalme wa ndege mpya.

Nina maswali kadhaa wandugu mnisaidie hapa:
1. Hao mawaziri waliopeleka wake zao huko ATCL ni kina nani?
2. Je wake zao wana sifa za kazi walizopewa?
3. Je wake hao , ni kweli walipelekwa, au waliona matangazo ya kazi wakaomba kazi kama waombaji wengine na wakapita kwa sifa zao?
4. Kama walikuwa na sifa, lini ikawa mwiko wake za mawaziri kufanya kazi wakati waume zao wakiwa mawaziri? Na je ikitokea mke ndo waziri, mume wake atatakiwa kutoajiriwa serikalini?
5. Najua mke wa Mheshimiwa Raisi ni mwalimu kitaaluma, na kwamba alistaafu majuzi tu ili aungane na Mheshimiwa Raisi kama "first Lady" kuendesha majukumu ya uraisi. Swali langu : hivi wakati wote Raisi Magufuli alipokuwa waziri serikalini, matatizo ya walimu hayakuwapo? Kama yalikuwapo , ilikuwaje yeye alimwacha Mama Janeth Magufuli aendelee kufanya kazi ilihali yeye ni waziri?

Basi wakuu, naombeni mnisaidie . Tafadhali jenga hoja...

cc: Ritz , Lizaboni , FaizaFoxy , Pasco , Ben Saanane na wengine wengi
Mkuu Mponjoli, Magu mwenyewe alikuwa Teacher na akamuoa teacher mwenzake, wakati anaukwaa uwaziri tayari mkewe alikuwa kazini. Mawaziri anaowazungumzia ni wale baada ya kuukwaa uwaziri ndio unapeleka kimemo kumuombea mkeo kazi hapo ATCL! .

Mimi nilidhani swali lingekuwa ni Waziri nani na mke wa Waziri ni nani, bahati nzuri namjua ila mambo mengine ni umbeya tuu, mke huyo wa waziri yuko ATC miaka mingi kibao kabla mumewe hajawa Waziri! . Pia siungi mkono hotuba za rais Magufuli kisha anachomekea umbeya alipopelekewa kama siku ile pale BOT! .
Pasco
 
-->>WASHUHULIKIWE MARA MOJA...../
NI MWANZO WA HATA VIJUKUU KUJUMUISHWA KATIKA UTENDAJI ATCL..../
 
Mkuu Mponjoli, Magu mwenyewe alikuwa Teacher na akamuoa teacher mwenzake, wakati anaukwaa uwaziri tayari mkewe alikuwa kazini. Mawaziri anaowazungumzia ni wale baada ya kuukwaa uwaziri ndio unapeleka kimemo kumuombea mkeo kazi hapo ATCL! .

Mimi nilidhani swali lingekuwa ni Waziri nani na mke wa Waziri ni nani, bahati nzuri namjua ila mambo mengine ni umbeya pia siungi mkono hotuba za rais Magufuli kisha anachomekea umbeya alipopelekewa kama siku ile pale BOT! .
Pasco
Pasco mtaje bhana
 
Wewe ndio unataka kuendeleza umbeya, hapa ni JF, unatakiwa umtaje huyo waziri na mke wake ili kumaliza umbeya
 
Back
Top Bottom