Rais Magufuli umegusa pendekezo langu katiba mpya

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Katazo la kuwaingiza watoto kwenye siasa kwa kisingizio cha Chipuki wa Chama ni jambo ambalo nililipinga kwamba ni kukiuka haki za mtoto kwa kuanza kumjengea mtoto itikadi za vyama badala ya kumjengea uzalendo wa Nchi kwa kushiriki shughuli za kitaifa tu!

Nashukuru kwa kuliona hili kwani tulikokuwa tunaelekea ilikuwa ni kuanza kuwajengea uasama watoto endapo chipukizi wa vyama tofauti wakikutana. Mwenye akili nyepesi hawezi kuliona hili, thanks JPM.

La pili Mh JPM si kila mali za CCM zote ni halali kuwa zao, zingine ni maliza wananchi wote na zilitakiwa zirudi serikalini baada ya vyama vingi.

Fanyia kazi wazo hili kama unachukuzwa na unafiki
 
Katazo la kuwaingiza watoto kwenye siasa kwa kisingizio cha Chipuki wa Chama ni jambo ambalo nililipinga kwamba ni kukiuka haki za mtoto kwa kuanza kumjengea mtoto itikadi za vyama badala ya kumjengea uzalendo wa Nchi kwa kushiriki shughuli za kitaifa tu! Nashukuru kwa kuliona hili kwani tulikokuwa tunaelekea ilikuwa ni kuanza kuwajengea uasama watoto endapo chipukizi wa vyama tofauti wakikutana. Mwenye akili nyepesi hawezi kuliona hili, thanks JPM. La pili Mh JPM si kila mali za CCM zote ni halali kuwa zao, zingine ni maliza wananchi wote na zilitakiwa zirudi serikalini baada ya vyama vingi.Fanyia kazi wazo hili kama unachukuzwa na unafiki
Kweli mkuu

Sasa hivi tumekuwa na vijana wazalendo kwa chama na sio nchi
 
Ni Ile Ile Ndiyo Waasisi Wa Chipukizi
Hawawezi Kukwepa Lawama Kamwe.
 
Litakuwa jambo la busara kwa sasa suala la katiba likaachwa mpaka pale watawala na wananchi kwa ujumla watakapokuwa na utashi kipi kizuri na kipi kibaya. Katiba hii inayolazimishwa sasa haitakuwa ya muda mrefu na manufaa kwa watanzania.
 
Mali za CCM ni za CCM, si za wananchi wote wala za serikali. CCM ni taasisi, hivyo umiliki wa individuals kwa hizo mali ni applicable tu pale wanapokuwa ndani ya taasisi hiyo. Ni kama unapoamua kuacha ukristo ukasilimu, huwezi kwenda kudai umiliki wa jengo la kanisa ulilochangia kujenga, hilo litakuwa mali ya waliobaki mle na watakaojiunga baada yako.
 
Hapo katiba mpya imeingiaje?? Weka kichwa kiendane na maelezo yako.
Nakusaidia tu mkuu. Hilo katazo, lilikuwa pendekezo langu katika maoni niliyotoa wakati wa maoni ya katiba mpya. Unakumbuka maswali..........."soma isha ifuatayo kisha jibu maswali........."
 
Back
Top Bottom