Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
Hivi wazee wako dar pekee? kura yake kama rais alipigia wp? Nakerwa sana na neno wazee wa dar na huko ndo kuna wapiga diel wa taifa hili.Angeonge na wazee wangu wa kigera etuma akina mzee Majengo Magesa,Majaga kasundo Nyeura Nyangata ,Mabusi Matheo,Jera Maregeri na wengine wengi au wazee wa chato wampe usia kijana wao au wazee wa Namanyele
 
Mwanza kuna wazee kama akina Kafiti mzee Kisumo na wengine wengi mana hao ndo walio mlea au wazee wa rwenzera kwenye chimbuko lake aliko zikwa bibi yake anaitwa Anastazia
 
Hii dhana ya kuongea na wazee wa Dar cjui ndo sifa maana hata jk aliwatumia sana wazee wa Dar. Mbaya zaidi wengi wao huwa wanaenda na nguo za chama cha...
Hivi wazee wako dar pekee? kura yake kama rais alipigia wp? Nakerwa sana na neno wazee wa dar na huko ndo kuna wapiga diel wa taifa hili.Angeonge na wazee wangu wa kigera etuma akina mzee Majengo Magesa,Majaga kasundo Nyeura Nyangata ,Mabusi Matheo,Jera Maregeri na wengine wengi au wazee wa chato wampe usia kijana wao au wazee wa Namanyele
 
Shauri yako yule tayari ana ndoa yake
Umenifurahisha mkuu. Ungejua nilivyokuwa na dread kucheki hiyo alert kwa vile nilishaona nimetofautiana na wewe, sikutegemea hili. JF kuna majibu! Aah aah.

CCM wapotezee mtazame Magufuli kama Magufuli, kweli huyu mtu ana nia. Kama ni kupokezana kijiti basi kile kijiti kilidondoshwa njiani. Inabidi arudi nyuma akitafute kilipodondokea ndio aendelee na mbio.
 
ivi hawa wazee hua wanapatikanaje??? maana hapa mtaani kwetu hua tunawaona hawaendag huko
 
Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza
Kuiga mazuri sio kubaya...utamaduni huu wala hajauanzisha kikwete bali umekuweopo toka enzi za mwalimu...

chagadema sio kilakitu lazima mchangie...
 
Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza

sasa ulitaka aongee na wazee wa kimasai...?? huu utaratibu ulianza toka awamu ya kwanza...

vipi kwanza ngo`mbe wa mzee wanatao maziwa sasa...?
 
Unajuwa hawa watu hawana ushauri makini.Sio aongee na wazee wa DSM waseme anaongea na wazee wa nchi hii.
Then wapige marufuku manguo ya kijani mule ndani,Wananchi wengi wakiziona zile rangi wanaugua.

sasa akianza kupiga marufuku hadi uvaaji si ndio mtapigia mstari ni dictator ...
 
mleta mada ulitaka prezzo we2 akaongee na wazee kama akina mtei? mind you, aliyepata kapewa. hebu jiulize hv kutokumkubal kwako magu, huon kwamba utaishi na kinyongo mpaka 2025, huoni kama unajiumiza bure?
 
Toka nyerere afichwe na wazee hawa mwaka 1964 kwenye ghasia za jeshi marais wote wanawaheshimu hawa, hata angeingia lowasa ungesikia hivyo hivyo!

huwezi ukawatupa wazee wa saigon

DSCN1853.JPG
 
Kuna watu wamezaliwa kupinga tuuuuu.....hata ukiwapa serikali kwa miaka mia wataendelea kuilalamikia tu CCM ...wametuchosha sasa ....
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom