Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
Ni maadhimisho ya siku zake 100 akiwa Ikulu. Ataongea na watanzania kupitia wazee wa Dar.

Utaratibu huu wa Rais kuongea na wazee kwa niaba ya wengine umeasisiwa na akina Nyerere, hawa wanaendeleza tu.

Kwa sababu wazee ni kundi lililochoka (weakest link). Hapo atajimwaga, na wengine watakuwa wameuchapa usingizi na wengine ni kupiga makofi.
 
Wewe Bavicha ulitaka aongee na wazee wa moshi? Kuna shida gani Rais kuongea na wazee?
Kwani moshi hakuna wazee?mbona huna heshima kwa wana wa moshi?yaani kukosa ubunge wa moshi ndio mnawachukia watu wa moshi kiasi hiki?
 
Kwani moshi hakuna wazee?mbona huna heshima kwa wana wa moshi?yaani kukosa ubunge wa moshi ndio mnawachukia watu wa moshi kiasi hiki?
Kwa hiyo unalazimisha aongee na wazee wa moshi?
 
Mtoa mada haujielew nini
Ulitaka asiongee na wazee aje kuongea na wewe
Yaani buana wana UKAWA sometimes sijui huwa tunafikiria na makitu gani
Tatizo sifa
Yeye anaangalia zaidi kusifiwa na Mazombi ya Ukawa JF
Ukitoa hoja ya kupinga jambo lolote la serikali unaonekana mjuaji mbele ya Vichaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom