Rais Magufuli, bila kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete

A
Miongoni mwa mambo yanayosababisha CCM iendelee kupoteza ni kuwapuuza watumishi wa Umma ikiwa namengineyo. Linaonekana kama jambo dogo ila amini kuwa watumishi wamebeba mnyororo mkubwa wa wategemezi, na ikiwa hawa ni wategemezi wao yaani baba, mama, Mjomba, Kaka, Dada na wengine weeengi ujue pia hawa wategemezi wanaheshimu mawazo ya hao wanaowategemea angalao kuendesha maisha yako kiasi fulani.Na ikatokea huyu mtumishi akilalamika kuwa serikali haiwajali, kumbuka hasira yaho (Wategemezi) inahamia kwenye serikali maana mkate unakuwa haupatikani.

Sasa hivi watumishi wa Umma wanaonekana si kitu kwako Mheshimiwa, wanafanyakazi kwa vitisho, Mshahara uko palepale wakati bei za bidhaa ziko juu. Usitaraji utafanya jambo ambalo litasaidia kupunguza ukali wa maisha zaidi ya kuwawezesha uliyonao ili nao wawawezeshe wengine. Hii ni Afrika na si Ulaya,tunategemeana saana.

Mwisho, ikumbukwe waliyochangia saana kuiangusha CCM ni Watumisi hususani wa Umma maana ndiyo wanaaminiwa na jamii yao kuliko mwanasiasa yeyote yule. Tumia wataalam wako kulichunguza hili utajua ukweli wa haya. Njaa mbaya saana, na maskini haaminiki.

"Magufuli bila Kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete"
Mada nyingine bana, sasa Kikwete ndiye alowajali wayumushi wa Umma? Kwa kuwaachia waibe na kuajiri watumishi hewa! Hata simuelewi huyu mtu huko kujali ni kutaka mshahara zaidu baada ya kubana Ufisadi au wao watumishi wa Umma ndio wanatakiwa kuqchana na Ufisadi ili serikali iwe na mapato zaidi na hata kuongeza mishahara ya watumishi hao. Kama unaiibia serikali kodi zake unategemea serikali ya Magufuli itapata wapi fedha za kuongeza mishahara ama kuborewha huduma zake. Ni muhimu wananchi wenyewe wafahamu kwamba mtaji wa serikali ni hizo fedha wanazoiba na ndio ufisadi wenyewe (uharibifu)..
 
Miongoni mwa mambo yanayosababisha CCM iendelee kupoteza ni kuwapuuza watumishi wa Umma ikiwa namengineyo. Linaonekana kama jambo dogo ila amini kuwa watumishi wamebeba mnyororo mkubwa wa wategemezi, na ikiwa hawa ni wategemezi wao yaani baba, mama, Mjomba, Kaka, Dada na wengine weeengi ujue pia hawa wategemezi wanaheshimu mawazo ya hao wanaowategemea angalao kuendesha maisha yako kiasi fulani.Na ikatokea huyu mtumishi akilalamika kuwa serikali haiwajali, kumbuka hasira yaho (Wategemezi) inahamia kwenye serikali maana mkate unakuwa haupatikani.

Sasa hivi watumishi wa Umma wanaonekana si kitu kwako Mheshimiwa, wanafanyakazi kwa vitisho, Mshahara uko palepale wakati bei za bidhaa ziko juu. Usitaraji utafanya jambo ambalo litasaidia kupunguza ukali wa maisha zaidi ya kuwawezesha uliyonao ili nao wawawezeshe wengine. Hii ni Afrika na si Ulaya,tunategemeana saana.

Mwisho, ikumbukwe iyochangia saana kuiangusha CCM ni Watumisi hususani wa Umma maana ndiyo wanaaminiwa na jamii yao kuliko mwanasiasa yeyote yule. Tumia wataalam wako kulichunguza hili utajua ukweli wa haya. Njaa mbaya saana, na maskini haaminiki.

"Magufuli bila Kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete"
wahenga walisha sema,usitukane wahenga na uzazi ungalipo.
 
JPM anatafuta fairness kwenye suala la ajira. Maisha ya magumashi yana mwisho wake. Mleta mada kama unao ndugu zako waliozoea kuishi maisha hayo ya njia za mkato nenda uwaambie warudi shuleni, wakaumizw vichwa na sio kutegemea mteremko. Haya maisha yaliyojaa uonevu ambapo mtu anafaidika na mifumo ya rushwa kwenye utoaji wa elimu, yana mwisho wake, na ndio huu umeshawadia.
Yana uhusiano gani na hayo hapo juu yaliyoandikwa? Siyo bure hicho kichwa kitakuwa kwaajili ya kufugia nywele basi. Nimekusamehe bure.
 
Hao wategemezi ni mchwa wabaya mno hata ulipwe mshahara million kumi bado hazito tosha dawa yake wapunguze tu.
 
A

Mada nyingine bana, sasa Kikwete ndiye alowajali wayumushi wa Umma? Kwa kuwaachia waibe na kuajiri watumishi hewa! Hata simuelewi huyu mtu huko kujali ni kutaka mshahara zaidu baada ya kubana Ufisadi au wao watumishi wa Umma ndio wanatakiwa kuqchana na Ufisadi ili serikali iwe na mapato zaidi na hata kuongeza mishahara ya watumishi hao. Kama unaiibia serikali kodi zake unategemea serikali ya Magufuli itapata wapi fedha za kuongeza mishahara ama kuborewha huduma zake. Ni muhimu wananchi wenyewe wafahamu kwamba mtaji wa serikali ni hizo fedha wanazoiba na ndio ufisadi wenyewe (uharibifu)..
Kwanini hawajafungwa hao walioiba mkuu au ndiyo yaleyale ya Nasikia?
 
Yana uhusiano gani na hayo hapo juu yaliyoandikwa? Siyo bure hicho kichwa kitakuwa kwaajili ya kufugia nywele basi. Nimekusamehe bure.
Wenye akili kuliko wewe wameshauelewa ujumbe uliokusudiwa kufikishwa. Hata usiponisamehe haunipunguzii kitu chochote maishani. Kuwajali watumishi wa umma kuna uhusiano wa moja kwa moja na chekeche linaloendelea dhidi ya wale wanaofanya forgery za vyeti. Ndio maana wanachekechwa ili wabakie wale wenye kustahili kweli kuwa kutazamwa kwa jicho la karibu.
Tatizo lenu wabongo ni kujifanya mnajua kila kitu, ingawa wakati mwingine mnachofikiria mnakijua ni kidogo sana kiasi cha kushindwa hata kuyasaidia maisha yenu.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom