Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu)

Naomba nimpongeze MH RAISI kwauteuzi wa MKURUGENZI MPYA WA ATCL NA. MWENYEKITI WA BODI YA ATCL

AIDHA NIMPONGEZE MH WAZIRI MBAWARA KWA KUAMINI ATATEUA WASAIDIZI AMA WAJUMBE WA BODI ILIO IMARA KURUDISHA ATCL UPYA KTK HESHIMA ZAKE...

MH RAIS AMEMTEUA NDG .ENG.EMANNUEL KOROSSO KUWA MWENYEKITI WA BODI YA ATCL

AIDHA MH RAIS AMEMTEUA MKURUGENZI WA ATCL MHANDISI LADISLAUS ERNEST MATINDI

ENG MATINDI ALIKUWA MKURUGENZI SHIRIKA LINALOSHUGULIKIA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRICA LENYE MAKAO YAKE MAKUU SENEGAL

UTEUZI HUU UMEANZA MARAMOJA


NAWATAKIA KILA LA KHERI NA KTK NIA NJEMA KABISA NICHUKUE MDA HUU KUOMBA WATANZANIA WAWAOMBEE MUNGU WAWEZE KULIFUFUA SHIRIKA LETU LA ANGA NANKURUDISHA HESHIA YA NCHI..

AMEN
 
Hivi mtu akiwa Mhandisi awezi kuwa na knowledge ya Biashara,haya mambo ya kusoma vitini yameharibu sana hili taifa.Tuna watanzania kibao wamesoma sijui BCom, BAF etc hawawezi hata kurun biashara za genge, watu wamesoma marketing mpaka PHD lakini hawawezi ku-market kitu chochote hao ndo ulitaka wateuliwe, au ulitaka tu-recycle watu ambao umewazoea, kuwa positive

Mkuu tuko pamoja! Yaani watu nafikiri wamekuwa frustrated na kukatiwi missions zao za usanii! Inabidi tufike mahali fulani tukabali kuwa Mhs Rais anafanya kazi yake vizuri. Na ni bahati mbaya amekuta UUZO kila kona na ndiyo maana matokea mazuri ya kazi yake yatakuja kuonekana kati ya miaka 2 mpaka 3 kuanzia sasa. Tumuunge Mkono
 
Wasipomuingilia na mambo yao ya siasa! Atimue wafanyakazi wote! Waanze upya!
yes..wote attitude yao ni kula kula. wanadhani airline maana yake matumizi ya kifahari kila kitu. kwanza wote saa hizi wazee hawana jipya zaidi ya kulakula.
 
Ukisoma topic ya marketing na demand pia na production juu juu unaweza ongoza nchi vizuri kwa nini wakuru hawapewi kozi fupi za uchumi, why?
vikozi hivyo vya marketing kila kozi wanavisoma.Mainjinia wanasoma ,walimu wanasoma.wanasheria wanasoma wahasibu wanasoma kila moja hufundishwa hizo kozi sio kitu kikubwa kama unavyodhani.Injinia hufundishwa jinsi ya ku-market bidhaa zake za kiinjinia ziwe ndege ,au bidhaa alizotengeneza!
 
Mawazo ya kihandisi yame take over mawazo ya kichumi namkumbuka mkwere na degree yake ya pass lakini ya uchumi, kujua tu what is demand kwenye uchumi inaleta faraja



Hivi mtu akiwa Mhandisi awezi kuwa na knowledge ya Biashara,haya mambo ya kusoma vitini yameharibu sana hili taifa.Tuna watanzania kibao wamesoma sijui BCom, BAF etc hawawezi hata kurun biashara za genge, watu wamesoma marketing mpaka PHD lakini hawawezi ku-market kitu chochote hao ndo ulitaka wateuliwe, au ulitaka tu-recycle watu ambao umewazoea, kuwa positive



chukua mwalimu kisha mpeleke hospital akatibu wagonjwa na kisha chukua daktari mpeleke darasani kisha uje uone matokeo yake
 
Mawazo ya kihandisi yame take over mawazo ya kichumi namkumbuka mkwere na degree yake ya pass lakini ya uchumi, kujua tu what is demand kwenye uchumi inaleta faraja
Bado tuna kazi kubwa. Wahandisi si ma manager minadhani tunahitaji watu wenye elimu nzuri ya biashara plus talents hawa watu ni muhimu kabisa na impacts zao zinajulikana duniani kote. Labda mh ana vigezo vyake
 
Mhandisi katoka Shirika la Anga Afrika, amekuja kufanya kazi na mkuu wa kaya, la msing aangalie vyema asije akaweka akili yake mfukoni akabaki na kauli ya kuitikia "ndio mzee"
lakin na pia najiuliza vip kwa habar ya mshahara wake, lazima mhandsi atakuwa kawapa serikali mashart magumu, hata salary scale yake uenda isiwepo kwenye scale za utumish kwa upande wa huko ATCL
nimejikuta najiuliza haya maswali, coz kuna kipind alitumbua uteuzi wa mwenyekiti wa kituo cha uwekazaji cha kimataifa ambaye kimsingi Jakaya alimtoa SOUTH kuja kusaidia kituo hicho, kwa madai alishindwa kupokea mshahara kwa muda kadhaa

Uko sahihi mkuu, baya zaidi mtu mwingine akiingia madarakani anakuja na watu wake mfukoni. Anasahasahau success ya alie mtangulia.
Former Nigeria Finance Minister said in TED show " Africa must learn how to manage success and build strong institution"
 
Back
Top Bottom