Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

Mtu aliye timamu hutumia ubongo wake kufikiri. Nakushauri, jua kwanza kazi zao na kisha soma sana lakn ukishindwa, usijibu maana utaonekana jinsi usivyo muelewa kwenye uzi muhimu kama huu. Ni vyema kuelewa na sio kushabikia.
wengine wapo kazini, just ignore them
 
dada yangu, mafanikio siku zote hupimwa kwa kuangalia wapi mtu alipotoka na alipofikia ndani ya kipindi fulani cha muda (ulikuwa unaogeshwa ila sasa unaoga mwenyewe, hayo ni maendeleo) and the same principle applies kwenye kupima maendeleo ya nchi. nchi haziwezi kufanana hata siku moja. japan ilivyo leo hii haiwezi kufanana na U.S.A ingawa zote zinasemekana ni nchi za dunia ya kwanza
Nakubaliàna na we we nchi zote duniani hazifanani sasa kwanini sisi tushindwe kutimiza hata huduma muhimu za jamii ka maji safi kwa wananchi wanaopeteza mda mwingi kutafta maji machafu ya kwenye mabwawa na madibwi, licha ya kuwa na mito mikubwa, maziwa makubwa na bahari hapo napo tumsingizie nani, ka serikali haijali wananchi wake. Tanzania tuna kila kitu cha kutufanya tupige hatua ila tumekosa dira ka taifa, na malengo ya mda mrefu plus uzalendo. Ni aibu sana Mpaka leo tunahangaika na madawati wakati sasa hivi tungetakiwa kufikiria mambo mengine ya karne ya 21.
 
smart phone yangu inaisha chaji, ntakujibu vizuri tu dada...........
 
Ungekuwa unanijua ungesema kwamba najua au sijui. Ila hongera kwa kutokujua.
Tatizo lako unadhani wote humu wajinga usilolijua wewe ndo nalijua mimi na nisilolijua mimi unalijua wewe ndomana hatufahamiani..so endelea kujua maana mjuaji upo peke yako
 
Binafsi nimefurahi sana kuteuliwa mtu ambaye alikuwa anafanyia nje sijui wanaitwa undercover agents au field officers.Nadhani Rais anajua anachokifanya.
Nasikia hata miaka ya utawala wa Mwinyi kuna mjeshi mmoja
alikuwa ni mkuu wa mkoa akateuliwa kuwa mnadhimu mkuu wa jeshi. Yaani waliokuwa jeshini hawakumfikiria kabisa na alivyoanza majukumu yake
akaimarisha utendaji na nidhamu
Kuteuliwa kutoka nje maana yake nn mkuu?
 
na Mbowe alikuwa Dj...ahahahaaa
Hahahahaha Unamaanisha Mbowe yupi ni mtu huru au mwingine maana huo ni ukoo mpaka huku kwetu yupo .....Mbowe, kule yupo..... mbowe hata iliokua taasisi ya kubinafsisha mashirika ya umma yaani wakati ikiwa hai yaani PSRC wakati fulani iliongozwa na ..... Mbowe
 
JPM anatuogopesha Wananchi, kwa nini lakini?
Sasa kwa hali hii wafanyakaz wa NIDA watakuwa na hali gani kisaikolojia?
 
Back
Top Bottom