Huko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu, Robert Msalika Naibu Mkurugenzi Idara ya Usalama wa Taifa.
- Anaapaishwa leo mchana.
Alikuwa anafanya kazi NIDA kama Mkurugenzi mkuu.
View attachment 386820
Iko siku utakuja kujiua kwa kujipinga mwenyewe,manake una chuki zilizopitiliza......Ana stadi za kazi hiyo au ndiyo muendelezo wa kujaribu na kurekebisha?
Si wale waliosababisha mauzauza wameshatumbuliwa?Huko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!
Suala hapa si kubalance bali ufanisi.Hata Kikwete hakubalansi kule juu. Si jipya.
Anajipanga kwa serikali yenye ufanisiTeua, teua , teua ............................................................................................................... asiye na mwana aeleke jiwe
fuata jambo jema siyo ujinga. mimi sioni sababu ya kujenga manung'uniko katika jamii kwa jambo tunalo weza kuliepuka.Hata Kikwete hakubalansi kule juu. Si jipya.
Yule alishatumbuliwa anaitwa Mwaimu kesi inaendelea kisutu,huyu alipelekwa NIDA kukaimu baada ya Mwaimu kutumbuliwaHuko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!
Huko NIDA si ndo kulikuwa na mauza uza ya national ID au??!!
Rais Magufuli amewateua Dkt. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa.
UKUTA kazi wanayoHongera sana tena Sana DK KIPILIMBA Mzalendo,mpenda nchi na Mpigania nchi .Hongera sana .Unastahili kushika hiyo nafasi.