JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,017
Kwani Magufuli alikuwa raisi au huo uamuzi ulikuwa wake binafsi?acheni lawama za kinafiki ,uamuzi ule ulikuwa wa baraza la mawaziri ,yeye magufuli alikuwa mtekelezaji tu,tunaposema mambo tutumie akili kidogo na sio kuleta ushabiki wa kihuni
..huo ni utetezi wa kitoto.
..kwanini magufuli hakujiuzulu kupinga ufisadi huo?
..kwanini akajiuzia nyumba hizo yeye na jamaa zake?
..kama alilazimishwa wakati ule, basi sasa ameshakuwa Raisi anayo mamlaka ya kubatilisha uamuzi ule wa kifisadi.