Rais Magufuli alia na ufisadi Jeshi la Polisi na Rushwa ofisi ya DPP

Issue ya Oysterbay imekaa kihuni sana ...alafu Polisi waache kuyumbishwa na wanasiasa ....waache uoga ...wanapelekeshwa mno ....wameuza lile eneo bila kupenda ....mbona hao wanasiasa hawagusi JWTZ?
Huwa huniangushi. Ntakuja kukutembelea
 
Dr Magu bana! Mbona kama 'anawagwaya' hawa polisi? Wengine anatumbua bila ganzi, hawa 'anawachoma ganzi' kwanza! anyway...kitaeleweka tu
 
Polisi ni tawi la chama ndio maana wameshindwa kumudu utendaji halisi wa kipolisi maana wanatumikia wana siasa badala ya taaluma yao.
Kwaani mkuu wa majeshi anateuliwa na nani kama si wanasiasa?hivi majuzi mlilalamika kuhusu vifaru na magari ya delaya kule pemba je unadhani walijituma wenyewe au na wanasiasa
 
nakushangaa sana wewe mutu ya chato mshahara wa mwezi wa tisa mwaka jana kila polisi aliongezewe shs laki mbili ili mshinde sasa unawageuka wanaccm wenzio hahaha natania tu
 
Natamani kuona usaha uliochanganyikana na damu utakavyoruka. Ila harahara usaha na jicho.
 
Ukiwa na tatizo na mtu jaribuni kumalizana wenyewe. Ukilipeleka polisi wewe unayemtuhumu mwenzako utaliwa kwa kisingizio cha kukusaidia na mtuhumiwa ataliwa vile vile. Hiyo % aliyoitaja Magufuli wanaotia madoa wenzao ni ndogo mno.
 
Hongera Mh Rais kwa kuikosoa serikali yako mwenyewe,bila kusubiri wapinzani wako kuikosoa naamini kwa mwendo huu tutafika tunako takiwa kufika.
 
Hongera Mh Rais kwa kuikosoa serikali yako mwenyewe,bila kusubiri wapinzani wako kuikosoa naamini kwa mwendo huu tutafika tunako takiwa kufika.
 
Hawa wakuu wa polisi wanawajua wahalifu wooote, lakini wanapiga kimya kwa kuwa wananufaika na urafiki uliopo kati yao na hao wahalifu
 
Kama unajua anahusika na yumo humu jf hebu m_tag moja kwa moja usizunguke ili uuone moto wake!!.

..LOL!!

..nyumba za serikali ziliziko prime areas ziliuzwa wakati Magufuli ni waziri.

..ndiyo maana namshangaa yeye kuanza kuwalaumu polisi kwa kuuza eneo lao.
 
..duh!!

..wanasiasa wa Tz kweli hawana aibu.

..aliyeanza kuuza maeneo oysterbay kwa bei ya kutupa si ni huyuhuyu Dr.Magufuli?

..kama Magufuli anajua kwamba viwanja vya oysterbay ni "prime" kwanini aliuza maelfu ya viwanja kwa bei ya kifisadi?

..halafu anapata wahi moral authority ya kuwalaumu polisi kwa mambo ambayo yeye mwenyewe ameyafanya?
Kwani Magufuli alikuwa raisi au huo uamuzi ulikuwa wake binafsi?acheni lawama za kinafiki ,uamuzi ule ulikuwa wa baraza la mawaziri ,yeye magufuli alikuwa mtekelezaji tu,tunaposema mambo tutumie akili kidogo na sio kuleta ushabiki wa kihuni
 
mbona hili swali kila siku linajibiwa au ndo umejiunga jf jana muulize mbowe , sumaye atakupa kila kitu nani aliyeuza nyumba za serikali haujiulize mbona viungozi wako wakubwa wa kitaifa hawalichukulii kama kick ya kisiasa au wew kila siku ni nyumbu nyumbu tu
 
Pamoja na tuhuma nzito sana alizozitoa kwa jeshi la Polisi bado akasema 99.999% ya mapolisi wako safi. Sikumwelewa kabisa mzee wa namba
 
Kwani Magufuli alikuwa raisi au huo uamuzi ulikuwa wake binafsi?acheni lawama za kinafiki ,uamuzi ule ulikuwa wa baraza la mawaziri ,yeye magufuli alikuwa mtekelezaji tu,tunaposema mambo tutumie akili kidogo na sio kuleta ushabiki wa kihuni

amuilize summaye au mbowe wanajua maamuzi ya kuuza nyumba yalikuwa ya nani , hata ukawa hawawez kutumia hiyo hoja kama kick kwa sababu wanafaham ukweli
 
Magu alipashwa kuzungumzia kuwa polisi mahakama mawakili ni kikwazo cha haki ya Mtanzania
 
Sasa hapo kwenye press release mbona sijaona mahali Mhe. Rais alipolia na ufisadi jeshi la Polisi kama kichwa cha habari yako kinavyosema? Jiepushe kutumia hisia zako na kuzifanya zionekane ndiyo hisia za wengine!
mkupuo hapo kwenye Jeshi la Polisi na eneo lao la O'bay ni nini huo!??Au unaona ni ubarikio?kwenye video kasema jeshi linapata pesa lakini linatumia visivyo,wanaingia mikataba yenye utata nk!!Hivyo vyote ni ubarikio au??
 
Back
Top Bottom