Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, akanusha uvumi wa kutenguliwa kwa Gambo

Status
Not open for further replies.

jameschanda

Member
Jan 22, 2015
28
8
Leo Oktoba 19, 2016 imesambaa taarifa ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Kufuatia taarifa hiyo, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa hiyo akieleza kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli imetengenezwa na wahalifu hivyo amewataka wananchi kuipuuza.

img_20161019_141120_650-jpg.420819
 
Porojo tu.Naamini atapandishwa cheo kuwa naibu Waziri kwa kuweza kum provoke GL mpaka akasahau protokali.
 
[HASHTAG]#GamboAondoleweArusha[/HASHTAG]

Hatutaki Arusha irudi myuma kimaendeleo iwe kama Idodomya

Well, hope barua ni genuine maana huwezi jua mambo ya teknolojia...
 
Hili wanachokifanya ni maigizo ,
Sijaona kosa la kunwondoa mjumbe wa kamati ya siasa ya chama mkoa.

Gambo mnyooshe huyo lema mpaka akaokote vitofali.
Maana kazoea.
 
ajulikanae kwa jina.... ndo barua gani ya utenguzi inamtambulisha mtenguliwaji kwa staili hyo?
 
Leo Oktoba 19, 2016 imesambaa taarifa ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.

Kufuatia taarifa hiyo, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa hiyo akieleza kuwa taarifa hiyo siyo ya kweli imetengenezwa na wahalifu hivyo amewataka wananchi kuipuuza.

IMG_20161019_141120_650.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom