Rais kuwashukuru wananchi kwa kumchagua tena

emrema

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
268
42
Jamani tumezoea baada ya Uchaguzi Mh. Rais hupita mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa tena ya kuongoza.

Safari hii vipi mbona hapiti au kuna nini?
 
kachoka,huko mikoan hakuna umeme,pia kuna maswali magumu atayajibu vipi?maana hayahtaj majibu rahsi,fikiria mfumuko wa bei,unavomgusa kila mtu,je ahad zake ameanza kuztekeleza?
bora akae aje kuwaaga tu!
 
hana muda wa kuwaste naona atakuwa anakusanya nguvu kujenga kajumba kake kule dodoma,
 
Back
Top Bottom