Rais kusema radio mbao ana maana gani??

kasumba za kila siku!!!

Raisi ni kimeo kabisa ,wananchi Wamepetwa na janga na wengi wamepoteza maisha, then anadiriki kuwaambia watu warudi ngongo la mboto,Alikuwa wapi sikuzote asiwaambie wanajeshi wahamishe kambi hizo? nadhania alikuwa anapass suti yake ya kutembelea mabomu yaliyokwisha lipuka badala ya kutembelea raia walipokuwa hai.
 
NAMPONGEZA SANA RAISI JK KWA UAMUZI WA KUITA BALAZA LAKE LA ULINZI! HONGERA SAANA MKUUU!a
Kweli balaza lake yeye!
Mnaohoji redio za mbao, humjui kuwa raisi wetu ni mtu wa mwambao? Halafu na kile kikundi maarufu cha mipasho kiko chini yake, kikiongozwa na mzee wa mboji mjengoni, mipasho kwa kwenda mbele hata misibani! Hawana la maana.
 
Hizo redio mbao ni zipi? inashagaza kuona rais mzima anaongelea lugha kama hii ndio tatizo la kuwa na watu ambao bongo zao zilishakufa ikabaki miili tu. inaoneka ubongo ulisha oza kiasi hata operation ni ngumu kufanyiwa:sick:

Rais wa Mafisadi KIWETE he is always NOT SERIOUS on HOT ISSUES like those of Mbagala and G.Mboto. Amekakaa kuchekacheka tu kama vile hana akili nzuri! Inashangaza sana kuona RAIS NA AMIRI JESHI MKUU wa majeshi yote kwenda kwenye tukio kama hilo ambalo limeua watu HALAFU UNAONGEA KWA MZAHA NA KUCHEKESHA WATU. KIWETE is not serious, he is full of jokes all the time. He isn't a good Presida!

Let J.KIWETE,Dr. Mwinyi,Mwamnyange and Shimbo step down immediately!!They are not SERIOUS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni mipasho tu si unajua tena jamaa ni mkwele na mswahilina!alikuwa anamaanisha kupata taarifa kutoka kwenye source ambazo si reliable!!
 
Wambieni ndugu zenu wanojenga karibu na hayo madude shauri yao.wako kwenye hatari sawa na wale wa mabondeni
 
Tatizo huyu Mkwere mswahili sana, hata katika mabo ya msingi na kutia simanzi ye analeta utani.
 
katika hili la kulipa fidia wahanga tayari wajanja wanajiandaa kuchakachua hela ya bure itakayotolewa kwa wahanga, kama yale ya Mbagala hadi hivi leo baadhi yao wanalalamika hawajalipwa, wengine walilipwa mafao kidogo kulingana na hasara waliyopata au kiwango kilichotakiwa, sasa tusubiri na hapa kuna wachache wanaichangamkia dili hivi sasa, wananchi waathirika muwe makini/macho na hawa matapeli, toeni taarifa kwa vyombo husika kwa yoyote atakaeonekana kufanya/kuleta mchezo huo mchafu.
 
mipasho


watu wamekufa yeye analeta viswahili vya mtaani kwao bagamoyo.

huyu jamaa ni hasara tupu
 
hamjamzoea tu? mlitegemea angeongea nini zaidi, poleni sana watu wa g.la mboto, 2015 mchukue hatua zaidi thidi yake na chama chake.
 
Lini aliongea POINT!!! Huyu si Kiongozi! Si mtofautishi na Muuza Kahawa, Huyu ndo mswahili wa Chalinze, tutakoma labda tumwombe Mungu atumie mbinu Mbadala kama ilivyokuwa kwa Omar Bongo nk.
 
Rais Jakaya Kikwete ametuasa tuache kusikiliza redio za mbao.

 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom