Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
RIP,
lakini amewafanya kuwa maskini wa kutupwa..mawazo yote kwenye silaha na kusahau maendeleo..usiku na mchana wa kaskazini wanawaza jinsi ya ku cross border kwenda kwa ndugu zao kusini ambapo tofauti ya maendeleo ni sawa na ardhi na mbingu..
Usiamini kila unachoambiwa na western media kuhusu uchumi wa North Korea. Juu ya watu kuvuka mpaka, hiyo ni kawaida maana hata USA wanavuka kwenda Canada na vice versa.