Rais Kikwete's visit to Jamaica

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Thursday, October 08, 2009

PRESIDENT of Tanzania Jakaya Kikwete is scheduled to pay an official visit to Jamaica next month.

Daryl Vaz, the minister with responsibility for information, told yesterday's post-Cabinet press briefing at Jamaica House that the official visit is planned for November 24 to 26.

Jamaica and the African nation, Vaz said, shared several similarities.

"The Government of Tanzania has introduced reforms, which resulted in economic growth of five to seven per cent prior to the global recession," said Vaz, adding that Jamaica was also considering reforms with similar objectives.

The last Tanzanian president to visit Jamaica was Julius Nyerere in the 1970s.
 
Mkuu wa Kaya,

Karibu Kingston Town
File:PortofKingston.jpg
 
Kupenda kula miguu ya kuku kuna leta mambo yake haya bwana.............:)
 
Hakuna jipya matembezi tu...
Kuna haja ya kwenda huko maana hata wale wazalendo wa kweli walitokea huko then wanaweza kuja na kuona kama kweli kuna wawekezaji wa namna gani.. Napenda aende huko kuliko hata America
 
PRESIDENT of Tanzania Jakaya Kikwete is scheduled to pay an official visit to Jamaica next month.

Daryl Vaz, the minister with responsibility for information, told yesterday's post-Cabinet press briefing at Jamaica House that the official visit is planned for November 24 to 26.

Jamaica and the African nation, Vaz said, shared several similarities.

"The Government of Tanzania has introduced reforms, which resulted in economic growth of five to seven per cent prior to the global recession," said Vaz, adding that Jamaica was also considering reforms with similar objectives.

The last Tanzanian president to visit Jamaica was Julius Nyerere in the 1970s
 
Aunganishe na Samoa kupitia Hawaii, na akiwa njiani kurudi apitie Comoro.
 
Akirudi asitusahau kutuletea miche, si unajua kilimo ndio kimepewa kipau mbele :D
 
sasa kwa nini asisafiri wakati mchuma wa gulf stream upo?

Walioinunua hiyo ndege walijua fika kwamba raisi ni lazima atembee ili kuyafanya yale yanayomfanya kuwa raisi kama kujenga na kudumisha urafiki kati ya nchi na nchi...

wajameni ukiwa yeye tanua na bebu mwacheni azitembelee hizo nchi anazotaka ingawaje sijaona kama amefanyiwa kipimo cha deep vein thrombosis... maana masaa 19 si mchezo wa bao na kupiga soga sijui huwa anafanya nini humo ndani ya ndege ndani ya masaa 19 hayo?
 
Hivi huyu bwana wapi ambako hajafika? Nepal?

huyu naona hajafika Afghanistan tu na ni kwa vile kuna vita bila hivyo angeenda huyu..halafu rais wetu ana alergy na kutembelea nchi za kiafrica ,mbona sijasikia akienda visiwa vya ngazija
 
wasi wasi wangu asije akaleta Richmond nyingine

Mimi wasiwasi wangu ni kuishiwa kwake nguvu na kuzimika baada ya kupanda pipa kwa muda mrefu kama anavyotuambia daktari wake; kuwa huwa anapata uchovu! Akizimika huko ugenini itakuwa noma! Ashauriwe apumzike hapa nyumbani aache kutangatanga.
 
Back
Top Bottom