Rais Kikwete ziarani tena, Tanzania ina waziri wa mambo ya nje?

Usihesabu tu safari, uhesabu na faida za hizo safari, ukumbuke Bill Gates bado yupo nchini, unajua kaja kufanya nini?? unajua msaada aliotoa kwa nchi yetu, unajua aliyeweka hayo mahusiano kati yake na Tanzania, msiwe mnaongea tu kama Kasuku

Bollo Yang, wewe badala ya kuwatuhumu wengine kuongea kama kasuku waeleze Bill gates amekuja kufanya nini - your talk is really cheap!!!!
I could say you don't deserve consideration either but i'll try to consider you and ask you some quiz.
Do you know the meaning of independency??? You should probably know that it's the opposite of " dependent" again you should know that Bill Gates is just an individual not the head of state either!!!
STOP WHORING!!!! Stand by your feet na acheni kuomba omba kila kukicha - hatukupigania uhuru ili tuendelee kuwa tegemezi kwa watu wengine, ivi mliumbwa bila aibu - since when on earth begging has become a vice???? Since when???? You guys should be ashamed of yourselves.
 
Jamaa anatembea na ramani ya dunia nini?[/QUOTE]

Mkuu umenichekesha. Nadhani kupunguza matumizi wizara ya mambo ya nje ingefutwa maana Rais anaimudu vizuri kabisa.

Nyie wacheni tu mnajua nini? kuna watu katika msafara wa raisi wanafaidika mno na safari na wapo wanaotumia nafasi hizo za kidiplomasia kusafirisha dawa za kulevya! usitegemee safari zikapungua hata siku 1
 
nimecheka sanaa,,wee jasusi mtundu sana

Huu ni mkutano wa Heads of States. Ulitarajia nani ahudhurie mkutano huu wakati hata kipindi cha utawala wa Mwalimu Nyerere rais ndiye aliyekuwa anahudhuria? Malalamiko mengine hayana msingi.
 
Huu ni mkutano wa Heads of States. Ulitarajia nani ahudhurie mkutano huu wakati hata kipindi cha utawala wa Mwalimu Nyerere rais ndiye aliyekuwa anahudhuria? Malalamiko mengine hayana msingi.
Mbopo,Nakuunga mkono. Watu wengine ni kuwasamehe na kuwaelimisha tu. Pengine maana ya 'Summit' hawaifahamu.
 
..sasa na ile mikutano ya makatibu wakuu wa mawizara anayohudhuria huko nje mnasemaje.

..si kweli kwamba kila mkutano wa wakuu wa nchi lazima ahudhurie.
 
Dunia ni kijiji.

Watu mnaoshangaa safari za JMK bado mna mawazo ya kizamaani.
 
Huyu ni mtalii na si kiongozi,dunia nzima ameshatembea bila hata mafanikio yoyote,NAMCHUKIA MKWEREEE
 
mkuu wetu yuko kwenye pipa akielekea equatoria guine. Hii sasa inatisha make ikulu ni kama kuna miba vile.

Huu ni mkutano muhimu sana lazima aende kwani wakuu wote wa nchi za kiafrika wamekwenda, yeye anakosa gani kwenda ? acheni wivu wa kike wana JF wenzangu, kama ww hukubahatika usimuonee wivu mwenzako na ndio akili nyingi za wana JF wengi waliomo humu ndani, ni wivu wivu wivu wa kike umejaa
 
Huu ni mkutano muhimu sana lazima aende kwani wakuu wote wa nchi za kiafrika wamekwenda, yeye anakosa gani kwenda ? acheni wivu wa kike wana JF wenzangu, kama ww hukubahatika usimuonee wivu mwenzako na ndio akili nyingi za wana JF wengi waliomo humu ndani, ni wivu wivu wivu wa kike umejaa
I honestly advise you to use your common sense. Badala ya kuwatukana wanaJF ni vizuri ukaelewa kuwa its times like these when the president need to show leadership. Hakuna mkutano usio muhimu unaomlenga raisi wa nchi...issue hapa ni priority kwa JK iko wapi je si matatizo aliyonayo nchini kwake si nmuhimu kuliko hicho kikao. Acha kuchangia kishabiki like someone who has never seen the inside of a classroom..nenda kafanye home yako properly uone kama ni maraisi wote wa Africa wameudhuria huo mkutano na utafute sababu za hao wengine kutohudhuria.
 
Back
Top Bottom