Rais Kikwete sio kigeugeu!

Acha USISIEM, jifunze kuongea FACTS. NINAWASIWASI NA ELIMU YAKO (FaizaFoxy). KAma sio umeishia MADRASA, sijuiiii. HOJA ZAKO HAZINA MASHIKO, ZAIDI YA KUTETEA UPANDE MMOJA.

Wewe ambae si legelege mbona huna hata ujumbe wa nyumba kumi? unanchekesha.
 
Acha USISIEM, jifunze kuongea FACTS. NINAWASIWASI NA ELIMU YAKO (FaizaFoxy). KAma sio umeishia MADRASA, sijuiiii. HOJA ZAKO HAZINA MASHIKO, ZAIDI YA KUTETEA UPANDE MMOJA.

Nyerere aliyaona haya matatizo ya watanzania kwa mbali sana kuwa ni UJINGA, MAGONJWA, na DHULUMA. Angeweza kuyatumia kwa manufaa yake lakini alituambia kuwa nchi yetu haitaendelea iwapo tutatunza magonjwa hayo. Alijitahdidi (kwa kadri ya uwezo wake wakati huo) kupambana na matatizo hayo lakini hakuyamaliza. Kwa bahati mbaya waliomfuata waliamua kuyatumia kwa manufaa yao binafsi, kwa hiyo hakuna aliepambana na matatazio hayo tena kwa vile kuwepo kwa matatazio hayo kulikuwa kunawanufsaisha watawala hao.

Inawezekana Faiza Foxy ni mmoja wa wanaonufaika na mfumo huo au ni mmoja wa wanaonufaisha wengine chini ya mfumo huo. Kwa vyovyote vile, safari ya Tanzania kuelekea maendeleo imekuwa ngumu sana chini ya CCM kuliko mwanzo. Evolution ya CCM kutoka CCM-taifa kuwa CCM-mimi imejenga mazingira ya hatari sana kwa uhai wa Taifa la Tanzania ambalo lina raslimali nyingi sana. Ukisikia nchi kama Rwanda inaingiza jeshi lake Tanzania kama ilivyoiningza huko Congo usishtuke hata siku moja, ndiyo hali halisi chini ya uongozi wa CCM wanaonufaika zaidi kutokana na udhaifu mmoja wa watanzania: UJINGA
 
Kweli kilaza akiongoza hata anaoongoza nao watakuwa vilaza. Hivi kweli unaweza kuendesha ikulu kwa kutoa taarifa kwa umma kwa mtindo huu? Hii taarifa lazima imeandikiwa bar tena na mlevi. Haiingii akilini kama ikulu hawana domain na hawana mail exchange! Huu ni ujinga uliokithiri maana si mara ya kwanza kuletwa kwa umma barua kama hii zilishatokea nyingi tu.

Naomba mod ni watukane hawa wakurugenzi wa ikulu usiniban maana inatia uchugu sana. Mabali na ujinga uliopo kwenye contents Lakini makosa kwenye uandishi ndo yanaudhi kabisa!

Mod nisamehe maana inatia uchungu kwa vile kunawatu wanauwezo wa kukaa pale ikulu wakatoa taarifa makini lakini wamechukuliwa washika mananihi wa naninihi tu!

.
 
Kweli kabisa siyo kigeugeu. Ni mtu makini na mahiri katika maamuzi ambayo labda yangeiweka nchi katika hali mbaya sana.

Pambaf,

Utetezi wa majitu toka Chama Cha Magamba utaujua tu!
Sijali ni Salva,ni Kiwete,ni Luhanjo au nani wote ni VIGEUGEU TUUUU!!! Hizi propaganda za KIJINGA ZA IKULU NA SALVA zilishapitwa na wakti enzi za UJIMA wakti ule RTD ilikuwa inasikika mikoa ya Pwani tu,hakukuwa na TV wala mitandao kama ya WAVUTI na SIMU ZA VIGANJANI.

Ikulu ya Kiwete na swahiba wake Salva waache kuendelea KUWAFANYA WATANZANIA KUWA MAMBUMBUMBU au MAJUHA!!.
I am sorry to say that there is no chance nowdays for such nonsenses in Tanzania.
 
Kweli kilaza akiongoza hata anaoongoza nao watakuwa vilaza. Hivi kweli unaweza kuendesha ikulu kwa kutoa taarifa kwa umma kwa mtindo huu? Hii taarifa lazima imeandikiwa bar tena na mlevi. Haiingii akilini kama ikulu hawana domain na hawana mail exchange! Huu ni ujinga uliokithiri maana si mara ya kwanza kuletwa kwa umma barua kama hii zilishatokea nyingi tu.

Naomba mod ni watukane hawa wakurugenzi wa ikulu usiniban maana inatia uchugu sana. Mabali na ujinga uliopo kwenye contents Lakini makosa kwenye uandishi ndo yanaudhi kabisa!

Mod nisamehe maana inatia uchungu kwa vile kunawatu wanauwezo wa kukaa pale ikulu wakatoa taarifa makini lakini wamechukuliwa washika mananihi wa naninihi tu!

.

Ngonini,

Kwa hili nakuunga mkono. Inatia AIBU na INACHEFUA mioyo.

Kweli Kiwete HANA WATU kuanzia hapo IKULU mpaka chini kabisa huku kwenye wilaya. Hii mijitu kama LUHANJO,SALVA(Ikulu),NGELEJA,MALIMA,WASSIRA,MKUCHIKA na miwaziri mingine mingi ni mibabaishaji ndani ya serikali ya Kiwete. Yote ni magamba matupu.

Ombwe la uongozi ndani ya Serikali ya Magamba ni dhahiri na wazi kabisa kwa kila Mtanzania. Tusidanganyane hapa.
Nampa Kiwete ushauri wa bure wa KUVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI,na kufanya uteuzi mpya wa MAKATIBU WAKUU,WAKUU WA MIKOA NA WILAYA.

Hawa walioko sasa wote ni wababaishaji na hawamsaidii Kiwete hata kidogo badala yake wanazidi KUMWAIBISHA na KUMVUA NGUO RAIS mbele ya Watanzania na Dunia yote!!!
 
Back
Top Bottom