Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 298
Kweli siyo kigeugeu ila alipopewa ripoti aliisoma sana lakini hakuielewa kwani nasikia alikuwa amepoteza fahamu kama kawaida yake.Kweli kabisa siyo kigeugeu. Ni mtu makini na mahiri katika maamuzi ambayo labda yangeiweka nchi katika hali mbaya sana.