RAIS KIKWETE:POLENI SANA WAFIWA WOTE...ona!

Ila kwa Sugu siyo kampeni tena kwa kutokuwa na uhuru wa mavazi- ujauzito wa akili.
Suguphobian,.......wewe ulitaka avae skafu kama Mwigulu Nchemba? Kilaza wewe Sugu afanye kampeni Sinza wakati yeye ni mbunge wa Mbeya? Una kaswende ya ubongo.
 
mpaka ikulu iko stand still kwa ajili kanumba amekufa...mmh way too much!

This simply implies, hatuna kazi za kufanya hata kama ni mapumziko ya Pasaka, kama unampeda zaidi muombee hata ukiwa nyumbani kwako sio lazima ukaminyane. Najua mtanipiga madongo but I spoke my mind......
Atakayekupiga madongo basi ni miongoni mwa wale wasiyokuwa na shughuli za Kufanya, mimi kama Matola simply siwezi kwenda msibani kwa Kanumba wala kwenda kumzika kwa sababu mosi hatukuwahi kufamiana zaidi ya kukutana kimjinimjini, pili mimi si shabiki hata chembe wa Bongo Movies, illa ninasikitishwa na kifo chake kwa sababu ni binadamau mwenzangu/Mtanzania, amekufa akiwa bado kijana mdogo na alikuwa hard worker.

Kanumba mauti yamekuta akiwa kwenye uzinzi na machukizo kwa Mungu natalajia leo kiongozi wa kiroho akemee vitendo vya uzinzi kwenye misa ya kumuombea Marehemu Kanumba. Tamati: kifo cha Kanumba ni kazi ya Shetani na siyo kazi Mungu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom